Arusha One huyu wa Jf.

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
693
Reaction score
889
Habari ndugu zangu wa Jf? Ningependa kuuliza kwamba, Arusha one ndiye anayemiliki blog ya Arusha one pamoja na station ya Radio ya Arusha one? MUNGU amjalie ndugu yetu huyu kama ndio yeye.
 
Blog ni ya kwake ila kituo cha Redio ni cha shemeji yake!
 
mungu amjalie nini tena labda gunia la chawa!
 
Kwa niaba ya Arushaone nasema hivii.................

Ngoja ninywe chai nije na maelezo kamili!
 
Last edited by a moderator:
itakuwa ni ya kwake! matangazo ya miss chit chat yalikuwa yanarushwa live!

hata kampeni pia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…