Lily Flower hawezi kunimwaga........................... Asprin ni Droctor................ ukimkuta yupo naye ujue kaenda kwa matibabu tu..................... akirudi anakuja na dozi za asprin anameza 2 x 3 kwa siku, afu zingine anapewa mi namsukumizia ili apone vizuriMungi FYI taarifa za ki-intelijensia ni kuwa Lily Flower alishakumwaga na yuko kwa Asprin anakaguliwa!
Mamdogo sweetlady tangu Mungi akimbiwe na Lily Flower anatamani hata kukuchumbia h/girl wake! Wapi Nicas Mtei?
Jiwe Linaloishi dawa ya moto ni moto! Nenda kazimue utakuwa fresh.
Miss you
Unamwita Nicas Mtei wa nini bana wakati wazee wangu na wazee wa sweetlady wapo kwenye mazungumzo ya kina
Thanks mumy
Karibu kiti cha Dodoma!
Thanks sana...... Ningekuwa na mabawa ningeruka km ndege lol..... Unifichie eeh
Yan siutumie hata Arusha Exp lol