Silaha ni muhimu sana pande hizi lasi hivyo wezi na majambazi watakua wageni wako kila siku. So kua na bastola sanasana kwa watu wa mererani ni kwaajili ya ulinzi binafsi, kua na beto kwa vijana wa ngalelo ni kwaajili ya matumizi yao binafsi ya kukabia au kuleta fujo mtaani ,kua na sime kiunoni kwa wamaasai ni kwaajili ya ulinzi pia .so kila mtu anakazi na silaha yake ,hata mimi ninakazi na yangu ukiniletea maniaje under reasonable circumstances ntakushughulikia ipasavyo.