Arusha na mabilionea majambazi

Arusha na mabilionea majambazi

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
621
Reaction score
434
Ukifika arusha kwa mara ya kwanza kama umeshafika Dar na mwanza utashangaa kuona kamji kadogo kuliko sifa zake. Nataka tujadiliane mambo yanayotishia Amani ya Arusha. Jambo kubwa ni kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na watu wenye fedha chafu.Wako wenye fedha safi lakini wanaojulikana na ambao utabahatika kuona vigorofa vyao ndio hao wahalifu sugu. Hebu fuatana nami.

1 A.M Investment (Alex Massawe)
Huyu alitumia mda mrefu kukimbia hadi afrika ya kusini kukwepa mkono wa sheria kwa kuua. Ni mtumaarufu kwa ukatili na unyama kuliko anavyoonekana. Ni jambazi sugu.
2. CHUSA
Sikuwa namfahamu sana mpaka juzi baada ya Erasto kuuwawa ndipo nilimfahamu. Nilikuwa niingie kwenye mtego mbaya wa kufanya naye biashara Mungu akanisaidia. Huyu kukutoa roho ni njenje.
3. ERASTO
Pamoja na kwamba ni marehemu lakini ameacha biashara nyingi ambazo kusimama kwake kumetegemea sana mtutu wa bunduki. Lakini tamaa ya wake za watu hasa wana appollo yaweza kuwa ilimponza na tabia ya kupiga picha na kuonyesha kama ameshajamiiana na mke wa mtu.
4. NYARI
yeye huyu ujambazi wake ni wa kupora madini. Yawezekana baada ya Minja na Patel kumnyoosha atakuwa ametulia kidogo.
5. MREMA
impala, Naura springs na Ngurdoto lodge ni baadhi ya vitega uchumi. Alikuwa dobi na mpaka sasa uwiano wa anachoingiza na biashara zake kuota kama uyoga haviendani. Huyu ni bastola mkononi.
6, Salim ally
Huyu nduye mwarabu anayeongoza kwa kuupamba mji wa Arusha kwa maghorofa yake. Ukiacha Naura springs maghorofa yote yanayomeremeta Arusha kwa ubora ni ya kwake (ingawa ni matatu yanatisha sana kwa thamani yake na hili jingine likiisha ni balaa.) Yeye huyu aliwekwa ndani kwa mda mrefu kwa kuhusika na biashara za kuuza watu (human Trafficking) nadhani na igaidi pia.
ikitokea vitega uchumi vya hawa watu vikaondolewa Arusha itabakia uchi na vigorofa vichache sana. Hii inaisogeza imani yangu kwamba uchumi wa Arusha umeshikwa na majambazi na ndio maana mauaji na visasi vimezidi.
 
.......wewe bongo la farasi changa bukusaba UTAJIRIKE!!!!!!
 
Unapokuja na haya maneno ninashindwa kuamini kama hawa uliowataja wanajulikana ni majambazi na ninavyojua nchi hii inasifika kuwa na Polisi na jeshi Imara wameshindwaje kuwakamata? na je hayo mabilioni waliyonayo wamemuibia nani hadi kuwa na utajiri wa kutisha kiasi hicho? tusikimbilie kusema ni majambazi labda ungekuja na hoja ya kuwa wanauza SEMBE ningekuamini kwani tumeshuhudia wafanya biashara hii ndiyo wanaotesa kwa sasa nchi hii hadi Serikali inaogopa kuwakamata kwa kusema Nchi itateteleka.
 
1. Kwamba Tanzania inasifika kwa polisi na jeshi imara sijui kama unafanya mzaha au uko serious. Mimi na wewe tunajua jeshi letu lina risasi za kuwalenga CDM na PONDA. Zaidi ya hapo ni kupambana na raia waliojichikea na sio majambazi wakubwa.
2. Neno ujambazi linamaana pana sana. Hata kuuza sembe ni ujambazi. Mantiki nzima ni kwamba mzunguko wa fedha Arusha unashikwa na fedha chafu.
 
Nadhani umeichukulia Arusha kama nchi, hao wote uliowataja ni kwa upeo wako mdogo wewe kijana mchumia jf kwa post karibu Arusha.
 
Panapofuka Moshi, chini kuna Arusha.

haha........mkuu umeuwa...Mbona pia kuna Dar....mwanza...moro..shinyanga....tabora, Dodoma etc...Arusha, pia wapo akina Saba General, kuna utalii km Akina Leopard, ranger, abacrombie, kuna Agha khan....wana hospital wanajenga university, wana DTB bank, wana Jubilee insurance, kuna Madini yenyewe ambayo yanahitaji watu wa kuyashika, kuna Dili za mpakani amabpo maccm hawachukui Kodi, kuna uwindaji, kuna mlima kilimanjaro na Meru, kuna viwanda na watu wa kutumia na kuzungusha hela, by the way..Nyari si aliwashinda Masisiem.....?
 
hilo ni kweli kwani ukiangalia kama mrema ni agent wa vigogo mafisadi chake ni kidogo,uyu anatumiwa na vigogo wa taifa hili ili mali zote hasa majengo si ya kwake yeye ni kivuli tu.
 
Hata siku Lema akifa utasikia aliyekuwa mbunge na Bilionea wa Arusha amefaraki dunia.Hata mtu pesa yake ni ya madafu kwao ni misifa tu.Nadhani kwa Arusha Bakharesa au Manji au Dewji kwao wanawaita matrilionea.
 
Mleta mada kuwa dobi si limit ya mafanikio km una malengo..wacheza soka kibao ulaya walikwenda kusona, wengine walizamia na kufanya kazi za ajabuajabu wakifanya timing....mrema hata wapiga pazi wa enzi zake wana mkubali alivyokuwa matu watu ,mchapa kazi na aliyependa kufanya vitu vyake vizuri, wenye wivu tuu ndio wanamfikiria vibaya.....

Mrema alihitajia nafasi tuu kipindi kile ushindani wala ubora wa huduma haukuwa ulikuwa hakuna,baada ya kujenga mitaji basi akawa ktk positiona ya kufanya apendalo kuongeza hela.

Kumbuka bongo ukishakuwa na hela na akili unaweza tengeza faida kubwa haraka sana.....km Jk aliweza kwenda fanya semina elekezi pamoja na kwamba anawachukia wakaskazini aliacha bei gani pamoja na profile?Hukuw aukimsikia akivyokuwa akiisifia Ngurdoto hadi watu wa dara nao wakaamka kujenga jiji.

Acheni kuwaza mashetani..Shirima wa Preision nae alianzia Arusha, Naye aliiba ndege?Dara express anaatawala barabara ya Kaskazini iliyomsinda Scandinavia..nae aliiba?

Hiyo ni defeatism.....aggressive people wana wau waliogawanyika sana, ktk kufikia mafanikio...kwani dar hawaibi?Mbona ufisadi unafanyika dar, mbona bandari, airport na railways panapoteza mabilioni kila siku...?Hizo incidence zimewashtua dar kwa vile mlijua kuna mabilionea wachache manowajua kulinganisha na Dar?
 
Hao mabilionea wako worth mabilioni mangapi? Maana kila mara tunasikia mabilionea hususan hao wa Arusha lakini hata makisio ya mabilioni waliyonayo hakuna. Kwa nini?
 
hilo ni kweli kwani ukiangalia kama mrema ni agent wa vigogo mafisadi chake ni kidogo,uyu anatumiwa na vigogo wa taifa hili ili mali zote hasa majengo si ya kwake yeye ni kivuli tu.

Acheni uboya..hizo ni za dar...akina manji, scandinavia, Azim Dewji, Gulamali and the sort ndio utawala ukibadilika nao wanaingia mitini, wansubiri mwingine.Wapo wahindi na wazungu wa utalii, seif wa cultural, wauza spare na vifaa vya ujenzi, power tools, na wengine wengi.....hao hamjawataja kwa vile ni sehemu ya serikali haramu.....Nyari kawapiga chini CCM kwa kesi za kubambikiza.

Mrema kafight ..wapuuzi nyie.Na kwa taarifa yako wapo watu wenye hela sana km wao ila investment zao ni tofauti...wapo akina megatrade, akina Laswai etc.....dolly farm etc mtawasikia tuu..

Akili ya dar haitaokaa iielewe Arusha.......na Arushs siku zote itakuwa ni battle ground ya wachaga dhidi ya bogus wa kiswahili pale Lumumba.
 
Hata siku Lema akifa utasikia aliyekuwa mbunge na Bilionea wa Arusha amefaraki dunia.Hata mtu pesa yake ni ya madafu kwao ni misifa tu.Nadhani kwa Arusha Bakharesa au Manji au Dewji kwao wanawaita matrilionea.

Kwani kwa shilling ni uongo..?Pamoja na kwamba akina Bakhresa wamefaidi sana kuwapa tende nyie, mamnji nanai hajui dili zake na CCM?Masiafa yake kuwa tangu babu yake ,km vile babu yake naye hakuwapa tende.
 
Hao mabilionea wako worth mabilioni mangapi? Maana kila mara tunasikia mabilionea hususan hao wa Arusha lakini hata makisio ya mabilioni waliyonayo hakuna. Kwa nini?

Nishawahi kuuliza hapa ni mabilionea wa shilingi za Tanzania, Weimar Republic Marks au dola za Zimbabwe? Matajiri wa Tanzania wanaojulikana, wanacheza na a couple of hundred million USD. Hakuna rekodi za bilionea wa kitanzania in USD.

Maana kuna watu wanaweza kupiga mahesabu full portfolio iliyo Tanzania na kujiita mabilionea (in TZS terms), wakati for all intents and purposes wanasaga lami tu.

Kuna muhindi,Mukesh Ambani, trillionea huko, in Indian Reals.

Anaweza kuwatambia kina Bill Gates na Warren Buffet kwamba wao ni Billionaires na yeye ni Trillionaire.
 
km unaongelea bilionea ktk dollar watu wanazo pia.....kwa makampuni.Forbes wanahesabu hela za mtu binafsi ila si makampuni.
 
Back
Top Bottom