Arusha na CHADEMA yao, Lema na wahuni wake

CHADEMA Tuna Dhamira Ya Kweli Ya Mabadiliko Sanjari Na Maendele Na Arusha Iwe Mfano Kitaifa Lakini Kwa Huyu Msema Ovyo Lema Tutakwama Sana Lema Pisha Wenye Uwezo Waende Dom
 
Tanzania Nzima ccm imekataliwa tutaendelea kuzunguka nchi nzima kuwafungua wananchi macho waliofungwa kwazaidi ya miaka 50
 
CHADEMA Tuna Dhamira Ya Kweli Ya Mabadiliko Sanjari Na Maendele Na Arusha Iwe Mfano Kitaifa Lakini Kwa Huyu Msema Ovyo Lema Tutakwama Sana Lema Pisha Wenye Uwezo Waende Dom
Kama Kamanda Bananga alikutoa jasho ndio utaweza ya Lema? ACT wanakusubiria
 
Kama Hicho Ulichojipinda nacho hapo kwenye kona? Usipotumia hicho kitu kiwanda kitakosa mapato mengi sana maana ndio kinywaji chako nakujua sana
Umeishajiuliza kwa nini viwanda vya viroba cha jogoo na banana vipo Arusha.
 
CHADEMA Tuna Dhamira Ya Kweli Ya Mabadiliko Sanjari Na Maendele Na Arusha Iwe Mfano Kitaifa Lakini Kwa Huyu Msema Ovyo Lema Tutakwama Sana Lema Pisha Wenye Uwezo Waende Dom
tulikuambia tangu mwanzo kwamba Mwigamba atakudhulumu , umeamini maneno yetu ?
 
Madava ile noah uliahidiwa na mumeo gamba vipi umepata??

Juzi nimekuona opposite na ngiwaranecha unaomba bia mapolisi, LEMA ni mashine alikukimbiza sombetini na magamba mkatoa makamasi.
 

Unataka akuletee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…