Uwezo wako ndiyo umeishia hapo kwenye kuandika?
Leo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?Huwezi mmoja wa Mamong'oo wewe...
Leo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?
Hali halisi ndio hii, na mawazo ya Hijja Madava ndio mawazo ya kila mwana Arusha mjini.
CHADEMA tuondoleeni hii takataka hapa mjini kwetu!!
Moto ni ule ule ulio wanyonyoa chadema na Arusha ni sawa na samaki na maji.. Hakuna Ccm ArushaLeo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?
Hali halisi ndio hii, na mawazo ya Hijja Madava ndio mawazo ya kila mwana Arusha mjini.
CHADEMA tuondoleeni hii takataka hapa mjini kwetu!!
Tanua Ubongo Kabla ujapanua mdomoWakuu Wana Waumini Wa Mabadiliko Ya Kweli Na Uhuru Wa Kweli
Mie Binafsi Kama Mzawa Na Mkazi Wa Arusha Ni Mumini Wa Mabadiliko Na Hiv Ndivyo Ilivyo Kwa Wengi Ndani Ya Mkoa Huu
Japo Tuna Bahat Mbaya Lakini Hatukati Tamaa Mwaka 1995 ulimchagua Makongoro Atuwakilishe Dodoma Ila Tukajajua Kuwa Makongoro Ni Muhuni Tu Tukajikuta Tunarejea Ccm Lakini Mwaka 2010 tukamwona kijana aloonyesha ni mwana mapinduz yakweli Godbles Lema Bila Ajizi Tukamchagua Sasa Tumekuja Kuona Kuwa Naye Ni Kama Makongoro Tunahitaji Mbunge Kama Lisu Au Mnyika Ccm No Arusha Hom Boy Wetu Kinana Anajua Ila Tunataka Mbunge Bora Ndani Ya Chama Bora.
Subiri matusi kutoka kwa wanywa viroba wa Arusha.Wakuu Wana Waumini Wa Mabadiliko Ya Kweli Na Uhuru Wa Kweli
Mie Binafsi Kama Mzawa Na Mkazi Wa Arusha Ni Mumini Wa Mabadiliko Na Hiv Ndivyo Ilivyo Kwa Wengi Ndani Ya Mkoa Huu
Japo Tuna Bahat Mbaya Lakini Hatukati Tamaa Mwaka 1995 ulimchagua Makongoro Atuwakilishe Dodoma Ila Tukajajua Kuwa Makongoro Ni Muhuni Tu Tukajikuta Tunarejea Ccm Lakini Mwaka 2010 tukamwona kijana aloonyesha ni mwana mapinduz yakweli Godbles Lema Bila Ajizi Tukamchagua Sasa Tumekuja Kuona Kuwa Naye Ni Kama Makongoro Tunahitaji Mbunge Kama Lisu Au Mnyika Ccm No Arusha Hom Boy Wetu Kinana Anajua Ila Tunataka Mbunge Bora Ndani Ya Chama Bora.
Tarifa Nilizozipata nilipoingia Moshi leo Kikazi Nasikia Ccm Arusha nichama chama Mongo.. Sasa pale ccm wilaya wewe unaendaga kudeki?Leo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?
Hali halisi ndio hii, na mawazo ya Hijja Madava ndio mawazo ya kila mwana Arusha mjini.
CHADEMA tuondoleeni hii takataka hapa mjini kwetu!!
Subiri matusi kutoka kwa wanywa viroba wa Arusha.
Moto ni ule ule ulio wanyonyoa chadema na Arusha ni sawa na samaki na maji.. Hakuna Ccm Arusha
Leo mnamkana Kamanda mwenzenu kisa tu amesema ukweli kuhusu Profesa LEMA?
Hali halisi ndio hii, na mawazo ya Hijja Madava ndio mawazo ya kila mwana Arusha mjini.
CHADEMA tuondoleeni hii takataka hapa mjini kwetu!!
Wakuu Wana Waumini Wa Mabadiliko Ya Kweli Na Uhuru Wa Kweli