Arusha: Mtekaji wa watoto afariki dunia kwa kupigwa risasi wakati akijaribu kutoroka

Kabisa angepatwa fursa ya kuonana na wazee wa interrogation, asimulie vizuri usikute kuna gang hapo limeamua kumpoteza kupoteza usahahidi

Na una uhakika toka Geita mpaka Arusha hakua interrogated mkuu!??hii 'alikua anatoroka chini ya ulinzi' au 'alijaribu kupambana na polisi' ni signature move ya polisi kuhalalisha kuuawa kwa watuhumiwa ambao 'hawana kazi nao tena' so please,msifikiri ni wapuuz wa kiwango hicho.furahia usalaama huo mdogo ulio nao sababu yao!
 
polisi wakikusoma hapa sidhani kama watapenda
japo wewe umechukulia kama ni sifa
kuhukumu ni kazi ya mahakama
ndio maana wao wamesema hawakuwa na option nyingine
maana wanajua si kazi yao kuua
Wala sio sifa dada angu,ni ukweli!
au unaamini stori zote zile za polisi za 'walikua wakipambana',au 'alijaribu kutoroka'??
Ppolisi si wapuuz hivyo..toka Geita mpaka ARUSHA siku karibu nne toka akamatwe na wasiwe na taarifa?wamefanya kazi njema sana kuondoa usumbufu na gharama kwa serikali.hawez kuwa mpuuz atoroke akiwa kazungukwa na defender mbili na askari wenye silaha.....
Hongera sana polisi wetu
 
plus pingu....
 
sisawa kabisa kuua mtuhumia. risasi ya miguuni ilikuwa inatosa.
Wewe unamhurumia huyo mbwa,kitendo cha kuwauwa kinyama wale watoto wasio na hatia unakichukulia poa tu,Mimi nawapa big up polisi kwanza nayeye alitakiwa atupwe chooni akiwa hai,nyambafu zake afe tu hanafaida.
 
Hua nashangaa sana kwa style hii ya polisi wetu ya kuua watuhumiwa wenye kesi nzito na zenye utata....

Badala ya kumdhibiti na kumtaka aseme kila ajualo wao wanamuua.

Risasi za miguuni ndio afe kabisa!!? kuna namna hapo.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Hawa jamaa zetu polic Kuna baadhi wnahusika Ktk mtandaoo huo wa utekaji wa watoto.....
Kuna style imetumikaaa kufuta ushahidiii hapo

OvA
 
Hua nashangaa sana kwa style hii ya polisi wetu ya kuua watuhumiwa wenye kesi nzito na zenye utata....

Badala ya kumdhibiti na kumtaka aseme kila ajualo wao wanamuua.

Risasi za miguuni ndio afe kabisa!!? kuna namna hapo.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Wanafuta ushahidi

Kuna good cops and bad cops

Ova
 
Risasi 2 za miguu anafariki wakati Lissu amepigwa za kutosha na bado yuko hai?! Polisi hebu punguzeni utani basi maana sielewi risasi za miguuni zinapelekeaje kifo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amevuna alichokipanda, na ana bahati kufa kifo cha starehe kama hicho, angekutana na adhabu kutoka kwa raia ndio angejua dunia kuna wakati husimama ili wasiohitajika kama yeye washuke iendelee na safari.
 
Back
Top Bottom