ARUSHA: Msichana akutwa gesti amefariki

ARUSHA: Msichana akutwa gesti amefariki

Mkuu. Usinikumbushe kipindi tunaandika majina feki gesti.
Jina lililopendwa sana Ni la afande mmoja wa jkt mnoko.. kumbe yule mhudumu amenimaki na lile jina kwasababu nimeingia Mara kwa Mara. Sasa siku tunakutana msibani akaniamkia kwa jina feki wakati nimezungukwa na majirani ndugu na jamaa.
Kwahiyo Ulifanyaje Mkuu? Uliitika?
 
🤣🤣
Ila Mundende banaa...yaani ujana kweli ni nusu ya uwendawazimu....

Ninakumbuka maisha ya CHUO nimeshawahi KUUPAKA na kuufungia ile mifuko ya plastiki iliyokatazwa....yaani nikaenda kuzunguka maeneo ya Mlimani City huku FUKO linanitokotesha tu ndani ili TIBA izame...

Siku hiyo nilijipa GANZI...iliyozidi...baadae jioni ilinitesa sana "tukioni"🤣🤣
Hahaha hasa upate kadem kamezoea goli 1 au 2 tena zile za dakika 10 tu utateseka saana
 
Arusha. Amina Jamali (18) amekutwa amekufa katika nyumba ya kulala wageni ya Lightness iliyopo jijini Arusha.

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Salumu Hamduni ameieleza Mwananchi Digital leo Jumamosi Desemba 5, 2020 kuwa taarifa za awali ni kuwa msichana huyo amekufa kifo cha kawaida.

Akizungumzia tukio hilo mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Kaloleni Magharibi, Hassan Sharifu amesema baada ya kupata taarifa za kifo hicho alifika eneo la tukio na kubainisha kuwa watu wa karibu wa msichana huyo walikuwa wakimtafuta bila mafanikio.

Amesema walipoona kimya kwa kuwa walimwona akiingia kwenye nyumba hiyo ya kulala wageni walikwenda kumtafuta na walipogonga mlango haukufunguliwa lakini walipoufungua na kuingia ndani walimkuta amefariki dunia huku akiwa akitokwa damu puani.




©@Mwananchi
Anatimiza miaka 18 anafunguliwa geti la kuingia duniani mara Jibril anamtwaa! Mungu marehemu.
 
Directly Roho inatokea Guest inaelekea mbinguni.

R.I.P
 
Mh! Yaani umeona MTU kaingia gesti. Unaendamtafuta kwingine kwanza,ukikata tamaa ndio unarudi gest
Hoja ya msingi sana ila sidhani kama wataweza kuijibu
 
Hapo ukute ulikua unamsalimia tuu, halafu chatting za nyuma ukawa unaomba mkutane.

Kuua,
Kubaka,
Pengine Mwanafunzi,
Pengine hajatimiza hio 18 bado,
Mara kinyume na maumbile,

Bado na malupu lupo ya hakimu..

Hapo, kila ukifumba na kufumbua macho Usoni unaona dawa ya panya, Kamba na kwa mbaaali ibirisi akikoka moto...
Maturubai na Mikeka lazime ihusike.

Asalaaalee,
Dah, mkuu nimekaa Nimeji - assume ndio yamenitojea haya.. aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay, tufanye basi siku hyo aliamua kubalidisha mazingira na kwenda kulala guest ila kwa bahati mbaya yametokea yaliyotokea, hapo je utasemaje? Coz sometimes kulala katika mazingira yale yale inachosha na pengine angekuwa na uwezo angechukua hoteli hvyo angefia hotelini sidhani kama kuna mtu angemuhisi vibaya, coz kile kinachofanyika Guest kinaweza kufanyika Hotelini pia utofauti unakuwa ni mdgo tu kati ya sehemu hzo mbili
Yaani awe hana mazoea ya kulala guest from nowhere tu siku hiyo alale na kufa !??? Haisound kichwani kuna kitu binti amefanyiwa

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom