Hahahahahaaaaaaa Filipo wacha watu waenjoy mvua bhana ngoja niendelee zangu kula kaubaridi ka leo
View attachment 70102View attachment 70103View attachment 70104View attachment 70105View attachment 70107
View attachment 70108
View attachment 70110Karibuni sana Arusha Jiji la ukweli a.k.a Half London
Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano hadi asubuhi imewasababishi usumbufu wakazi wengi wa jiji hili. Wapo ambao hawakulala wakishindana na maji ya mvua. Yanaingia ndani, wao wanayatoa. Wapo waliolazimika kuchimba miferegi usiku huo, huku wakinyeshewa ili kuyakwepesha maji na nyumba zao. Wapo waliolazimika kwenda kazini leo kwa usafiri wa umma au miguu yao baada ya barabara kuharibika. Upo usumbufu mwingi umetokea licha ya kwamba mvua waliimiss sana na walikuwa wakiitamani kwa muda mrefu. Binafsi nashukuru Mungu sikuupata na ninawapa pole waliopatwa na maswahibu hayo!
Hahahahaaa cha ajabu mvua ya mchana haikufika Njiro lol palikuwa na vumbi utadhani sio Arusha
Kwani na USA kulikuwa na kimbuka? Mi nilisikia ni Marekani sikudhani kama na USARIVER kimefika dah bora kiishie kwa Ngulelo kisifike mjini maana kitatutoa rohoKaubaridi kweli katamu, hata mimi nakafurahia. Nimewaonea huruma wenzangu ambao mvua "imewaachia manyoya!" Si uliona USA kimbunga kilipita kikawaacha wengine hawana makazi!?
usije tu kufakamia supu ya mzazi!
Heheheheee then ili kukata usingizi unaweka ngoma za kimasai yan faster akili inakuwa activeUkizichanganya na za Celine Dion ngoma inakaa sawa sawa