Arusha MP says 'Dirty' phots are fake

Kama vipi tcra waruhusu ili kila upande utengeneze picha za kuzushiana tuone timu ipi itakayokuwa ya kwanza kuomba poo
 
mimi ninayo ya kikwete na nape..
Uwe na heshima kwa Rais wako huo si ustaaarabu hata kidogo hata Mungu hapendi, nalaani kabisa kitendo hiki kwako na wote waliotuma picha feki za Mhe. Lema
 
Lema we chapa kazi achana na hawa pimbi ss wananchi wa arusha tunakuunga mkono na tutaendelea kukuunga mkono
 

Hivi huyo Flora Lyimo wa miaka hamsini utasemaje alibakwa au dau hakulipwa ndio anageuza kibao
 

ha haha..we jamaaa mtela he's a good guy.. hajawahi kushudiwa akihangaika na madumu ya sumu na hakuwahi kufumwa akikojoa kojoa (Rejea majibu ya waziri wa mazingira bungeni wakati wa maswali na majibu) na kuchafua mazingira kama kijana wenu mpokea helkopter Gwakisa
 
Last edited by a moderator:
Mimi nasubiri kuona uamuzi wa TCRA ambao humu pia wamo na walituletea elimu kidogo kuhusu haya matumizi mabaya ya mitandao na athari zake, pia sheria zake. Kama watashindwa kwa tukio hili basi kila mtu atalitumia tukio hili kama reference kufanya aonacho yeye ni sahihi
 
Lema pole sana,zipo zingine za machafu YA huku kusini zinasambaa,ni za kipindi kile cdm ilipokuja Movement for change Kusini
 
Lema ndio ajifunze sasa, kuwa siasa chafu sio nzuri, alidhani ni yeye tu anazijua sasa ajue SIASA CHAFU na wengine wanaziweza!

ccm arusha yote hamuwezi kushindana na Kamanda Lema , amewasambaratisha na anaendelea kuwaswaga ! Lema kiboko .
 
Kitendo cha TCRA kukaa kimya ni kosa kubwa na siasa hizi chafu hazitaishia hapo.Tutaona

Nitumie hizo picha nizione,maana kasema atagawa katika mikutano yake,atuwekee na JF la Wakubwa
 
Lema pole sana,zipo zingine za machafu YA huku kusini zinasambaa,ni za kipindi kile cdm ilipokuja Movement for change Kusini
Tumeshakujua sana kwamba wewe ni mchafuzi sifa ulizojijengea kwenye jamvi hili za ukomavu na usimamizi wa mali asili za taifa zimegeuka na kuwa kiwavi cha matusi na mtambo wa uongo na, mkosa heshima na mropokaji ,toeni hizo picha tuzione tunasikia nyimbo ndefu picha hatuzioni ,
 

Hivi unamjua unayemtetea ?
 
Last edited by a moderator:
kama hayo matusi mnayomtupia lema ni ya kweli basi itisheni uchaguzi sombetini bhana , tumalize ubishi , kampeni meneja wa ccm awe Sadifa .
 
Goldman
===>Kuna comment nilishawahi kuiona hapa kuwa jamaa wa ara chuga walivunja duka la jamaa hadi akalazwa hospitali,ila zilibaki kuwa ni uzushi tu sasa sijui ndio zinakuja kwa style nyingine au ndio vipi.
 
Last edited by a moderator:
Goldman
===>Kuna comment nilishawahi kuiona hapa kuwa jamaa wa ara chuga walivunja duka la jamaa hadi akalazwa hospitali,ila zilibaki kuwa ni uzushi tu sasa sijui ndio zinakuja kwa style nyingine au ndio vipi.

Ukweli upo utabainika tu kama ni kweli,hivi vitu huwa wakati mwingine vinapindishwa na kucheleweshwa lakini ukweli ukifika vinaonekana tu!tusubiri!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuki kwa nguruwe ehhh za Kikwete mbona hukusema TCRA ila za bosi povu linakutoka.

kikwete mku wa nchi so kama TCRA haikufuatili zakwake na za yeyote yule kikwete ndio mtu wakwanza kulaumiwa.
Hata hivyo nashaur Lema wala asichukulie hili swala kwa jazba,asilifanye big issue. Afuate taratibu za kisheria na aendelee na maisha kwani wengi washafanyiwa hivyo..kina bush,clinton,blair nk.
Infact,hiyo inaonyesha how desparte CCMs are. Jana nimesikiliza kmkutano kao pale nyuma ya shekh amri Abeid stadium kata ya kaloleni, seriously,these guys are desparate..uzi ukazwe watasanda soon. Usipoona zile rangi naeza fikiri mkutano ni wa CDM mana kila baada ya neno linafuata CDM hakuna cha maana wanaongea.
 
Kwani kwenye hizo picha wanamfanyaje lema?maana kila mtu hataki kuweka wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…