Arusha Modern School Is It Best in Arusha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha Modern School Is It Best in Arusha?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by S. S. Phares, Apr 22, 2009.

 1. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #1
  Apr 22, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wana JF

  Nimeamua nimtafutie mtoto wangu shule ya Sekondari mkoani Arusha (naipenda sana Arusha). Nimetambulishwa kuwa Arusha Modern School ni mojawapo ya shule nzuri za private.

  Naomba kama kuna mdau yoyote humu anaifahamu AMS au nyingine yoyote yenye sifa hizi Arusha anisaidie maoni yake, ningependa kulinganisha:-

  - Mazingira ya kusomea
  - Walimu
  - Mahali ilipo (Arusha kubwa sana)
  - Ni lazima iwe Boarding
  - Mchanganyiko
  - Miiko ya Kidini (Christian)
  - Matokeo ya Mitihani inayoridhisha (Kitaifa na Nje)
  - Kufundisha Kazi za Mikono (Shule watoto wanayofuliwa nguo nisingeipenda)
  - N.k

  Natanguliza Shukhrani.
   
 2. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Wana JF, hakuna anayejua shule za Arusha humu wajameni..lol
   
 3. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  NAifahamu Arusha Modern iko Arusha maeneo ya kisongo ni nje ya mji kabisa, ni shule nzuri ina maadili ya dini full maombi hiulo kila mtu analijua, kwa upande wa masomo wanafanya vizuri japo si maksi za kutisha sana lakini hamna aneyfail, ni boarding na watotot wanafundishwa kazi kama ni mdogo wa kike anapewa dada yake wa madarasa ya juu atakayemfundisha kazi ndogondogo mpaka azoee,
  Na mazingira si ya kimjini sana ambayo yanampa mtoto vishawishi ni shule ya wahindi.

  Na pia kuna st. Patrick Trust Academy ni shule nzuri sana inaanzi baby class mpaka chuo pale mtot akienda hata kama kichwa chake si kizuri lazima atapasua tu jaribu hizo nikiendele kukumbuka nitakuambia, halafu ungesema mtot wa jisnia gani na anasoma darasa la ngapi au secondary ndo ingekuwa nzuri zaidi
   
 4. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  ningekushauri kati ya st Patrick,Green valley, st Costantine na st Jude., Joyceline Arusha modern haufiki kisongo, pale bado ni sakina.
   
 5. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #5
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ahsante Joyceline,

  Mtoto wa kiume, natafuta shule aingie Form 1.
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  kumbe ni mkubwa kiasi, kama ingekuwa umependelea mkoa mwingine ningekucctizia sana AGAPE SEMINARY kilimanjaro, ni nzuri sana sana.
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  1. Yes Agape mwaka jana ilikuwa among the best 10 kwa matokea ya form IV Tz! Nadhani likuwa ya sita!

  Kimaadili ni shule ya Lutheran: na ipo nje ya mji Mamba-Mkolowony, sii mbali toka Marangu na hakuna vishawishi!

  sema inakuwa kazi sana kupata nafasi ni bora basi uanze maandalizi mapema!

  2. Kwa wenye watoto wakike kuna St. Anuarite ipo karibu na Kawawa Rd, Moshi it was also among the best 10 Tz mwaka jana! Ni ya bweni chini wa RC! wako so strong haswa ktk Sayansi!
   
 8. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ni kweli kabisa, lakini akijiandaa mapema nadhani ataipata tu.
   
 9. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #9
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Agape Seminary wana std 7?
   
 10. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #10
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Wa boarding wote wanakaa Kisongo, sakina ni madarasa tu kulala na kila kiru ni Kisongo
   
 11. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #11
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  mami nilidhani umesema skul ipo kisongo, upo sahihi.
   
 12. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #12
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  hapana!
   
 13. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #13
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Agape ni nzuri sana ila kupata ni tatizo inabidi ujiandae,

  na pia kuna st. Dorcas iko hai maeneo ya boma Ng'ombe ni nzuri sana inafundisha vizuri na pia ina maadili, mdogo wangu anasoma hapo alikuwa mtupu kichwani lakini sasa ni bonge la kichwa.
  mzazi ukienda kumuona mtoto wako unaombewa kwanza usije ukamuambukiza maroho na matabia uliyotoka nayo nyumbani ila kama mtoto ni mchoyo hataweza maana kila kinacholetwa anakula na wenzake( joke)

  Kuna shule moja ya wavulana maeneo ya same ndo imeto form four ya kwanza mwaka jana lakini wamejitahidi sana inamilikiwa na kanisa katoliki iko kama seminari jaribu kuulizia na hiyo au nenda pale msimbazi centre unapewa orodha ya shule za kanisa na perfomance zake bado hujachelewa.
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  hivi st Dorcas ni mchanganyiko?..ipo mbali sana kutoka pale barabarani kilipo kibao kinachoelekeza skul ilipo?
   
 15. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #15
  Apr 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  iko mbali kidogo lakini kuna vibasi anaweza akapanda ndiyo ni mchanganyiko, ofisi na madarasa viko barabarani kwa hiyo ukimpeleka mtoto anakaa mpaka wenzake saa wanaenda kwenye mabweni na magari anaenda nao
   
 16. M

  Msindima JF-Expert Member

  #16
  Apr 23, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  kuna mukidoma pia iko nje ya mji (Usa River) ni shule nzuri.
   
 17. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #17
  Apr 23, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Mukidoma ilikuwa nzuri ila sasa wana matatizo kidogo. Na zipo mukidoma mbili,ambapo mojawapo ilikuwa au bado ipo ndani ya eneo la NAIC na ilitakiwa kuondoka kuhamia eneo lingine. Pia siku hizi inaperform below standard na service zake haziendani na gharama ya shule,ilifungikwa kama siyo kupewa warning.
  Ilikuwa ya dini ya kisabato ila hawabagui dini yoyote sema unafuata mwenendo wao yaani kukubaliana na sheria zao. Hope Mama Masanja(mmiliki wa mukidoma) atarekebisha na kurudi kwenye standard ilivyokuwa.

  Kuna shule nyingine inaitwa taps/tass, ila kwa sasa sijui hali yake kwasasa kitaaluma. inaanzia kindergaten-form 4.Ipo usa-river/momela.

  St.Constantine kwa arusha ni nzuri pia,tembelea www.scisarusha.org


  Ukifikiria jirani na arusha jaribu cheki na St.Margoreth ipo moshi nzuri ni ya masista

  Hata hii ila haipo arusha ni Stanley ipo tuangoma-temeke ni mpya kidogo,boarding.
  Pia kwa dar, Feza boys inafanya vizuri tena boarding ipo.
   
  Last edited: Apr 23, 2009
 18. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #18
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0  ooh yeah nilikuwa nimeisahau hii, kweli ni skul nzuri sana, maeneo ya leganga kushuka chini.
   
 19. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #19
  Apr 24, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  mbona imeshahamia kitambo sana, ipo huku chini kabisa maeneo ya leganga! mtoto wa frnd wangu anasoma hapo na maendeleo yake yanaridhisha sana.
   
 20. n

  nyisye New Member

  #20
  Sep 4, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear JF !! Thats school is abundantly good ! I m staying close to that.
   
Loading...