Arusha :mkutano wa kujadili matatizo ya umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha :mkutano wa kujadili matatizo ya umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yona F. Maro, Aug 22, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Aug 22, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Mkutano wa kujadili matatizo ya umeme

  napenda kukujulisha kwamba kutakuwa na mkutano wa kujadili matatizo ya umeme katika mji wa arusha siku ya jumapili tarehe 23 mwezi wa 8 mahali ni aicc club kuanzia saa 8 mchana na kuendelea .

  Kama wewe ni mfanyabiashara , mwanafunzi , raia wa kawaida mwenye uzalendo na nchi hii karibu katika mkutano huu tuwe kujadili kwa kina tatizo hili .

  Mwisho wa mkutano huo ni kuanzisha chama cha watumiaji wa umeme cha arusha mjini kisha kupanua kwenda maeneo mengine mkoani na nchi nzima kwa ujumla

  umeme ndio ingini ya kuendesha maendeleo ya sehemu yoyote duniani , bila umeme viwanda haviwezi kuzalisha inavyotakiwa , watu hawawezi kufanya kazi kwa viwango stahili , tunatakiwa umeme wa uhakika kwanza ndio tuongelee masuala mengine ya maendeleo ;

  siku : Jumapili tarehe 23 mwezi wa 8 kuanzia saa 8 mchana

  kwa habari zaidi tembelea www.wanabidii.net na piga 0716 494151

  karibu sana katika mjadala huu kwa faida yako na jamii yako
   
Loading...