ARUSHA: Mbunge Godbless Lema bado anasubiri dhamana, arudishwa Gerezani, Mawakili wake wakata Rufaa

Lema mahali anapostahili ni nondo tu, uraiani hapamfai kamwe
Waatu wa Maagufuli bwana akili zao zimezibwa kabisa na ukakasi wa udikteta sasa lema kumwambia Magufuli atakufa kwani uongo mbona kila binadamu atakufa yaani cha ajabu ni nini hapo jamani yaani Magufuli anakataa ubinadamu ambao kila aliyezaliwa na mamaye hupita tu katika ulimwengu na hakika ni ukweli kwamba alitoka mavumbini na atarudi mavumbini. Magufuli ameshindwa kazi nchi zingine sasa hivi kila mahali pangechemka ashukuru utapiamlo wa akili za watanzania ndio maana ana achwa akiharibu nchi namna hii
 
Kama mahakama inaendeshwa na mtu ambaye si hakimu wala judge,inaendeshwa kwa mihemuko ya kisiasa unafikiri kutakuwa na haki hapo? kwa maoni yangu na mtazamo wangu sioni kama kuna mhimili ambao unajitegemea kwa kutoa maamuzi,na jambo la msingi ni kufuta Mahakama na Bunge visiwepo kuwe na amri moja kutoka juu akiamua leo kulala bila kutoka nje na iwe unatii mamlaka.
Subiri kidogo tu mkuu...akiachiwa tu lazima utaisifia mahakama na kusema kweli imetenda haki. Kwa hiyo usiangalie upande wako tu...
 
Kuwa na elimu ya uelewa wakati mwingine ni kqazi kweli kweli. Hivi ni lini mahakama akatekeleza utashi wa Jeshi la polisi? Polisi wanawajibu wa kutii na kutekeleza maamuzi au amri za kimahamakama
Mbna hawakumkamata Lissu kws amri ya mahakama, na angekamatwa kwa ile amri ya hakimu, ungeilaumu mahakama au polisi? Lete hoja kuhusu hilo cyo matusi ya kumwambia mwenzako hana elimu
 
Da!!!!! Maskini Mahakama kuu leo pia amegonga mwamba!!!!!!
Kwa sasa wanataka kukata rufaa kwa HATI YA DHARULA!!!!!
MM naamini kuna kitu amejifunza...kwa sasa angeachiwa tu kwa dhamana

Source:- Azam adhuhuri
Kweli mkuu hata mimi huruma imesha niingia, wamwachie tu..inatosha.
 
HATIMA YA DHAMANA YA MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA KUJULIKANA SIKU YA LEO JUMANNE 22.11.2016.

Hatima ya Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema itajulikana siku ya leo, kupata dhamana Au lah!

Kesi ya Jinai namba 440,441inayomkabili Lema itasomwa tena siku ya jumanne leo kama ilivyoamuliwa na Mahakama ya hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha tarehe 17 novemba 2016.

Jeshi la Polisi mkoani Arusha Mjini wanazuia wananchi kuingia mahakamani.

Taarifa ambazo tumezipata Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema ametafikishwa ndani ya viwanja vya mahakama kuu kuanzia saa nne.

Tayari Mbunge Godbless Lema ameshaingia mahakamani Na saa anashauriana na mawakili wake.

Mawakili upande wa serikali wanajitambulisha pamoja na mawakili upande wa Mbunge.

Hakimu anapitia marejeo ya kesi ya nyuma iliyofanya Lema asipewe dhamana.

Hakimu anatoa rulling anajibu hoja za upande wa serikali kwa queries walizozileta.

Hakimu anasema mshtakiwa ana haki ya rufaa na rufaa ni haki yake.

Hakimu ameondoa rufaa kuna mambo ya kisheria

Hakimu anasema Mawakili walitakiwa kukata rufaa kwenye ile ile Mahakama ya Mwanzo kwa Hakimu Mkazi, ndio mawakili wanaenda kushughulikia na sio kuomba review.

Hakimu anasema walitakiwa kukata rufaa kwenye ile ile mahakama ya mwanzo kwa hakimu mkazi ndio mawakili wanaenda kushughulikia.

Mahakama kuu kanda ya Arusha imetupilia mbali maombi ya mawakili wa Lema ya. kufanya marejeo ya hukumu ya dhamana. Hivyo Mawakili wa Lema wanakata Rufaa kwa hati ya dharura na kesi itasikilizwa tena.

Mawakili wanakata rufaa ndani ya masaa mawili.
Mbunge wa Arusha mjini Lema ametolewa kwenye viwanja vya mahakama kuu, na tayari amepelekwa gerezani, baada ya muda tutawajulisha kinachoendelea, Wakili Peter Kibatala ataongea na Waandishi wa Habari hapo baadae.

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema amesharudishwa magereza wakati mawakili wake wakiendelea kukataa rufaa ya kuzuia dhamana.
View attachment 437898

UPDATES;

Mahakama Kuu haijamnyima Lema dhamana, ilichoamua leo ni kuwa Lema anayo haki ya kukata rufaa kwenda Mahakama Kuu dhidi ya maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya kusema amefungwa mikono na notisi ya rufaa iliyotolewa na upande wa Jamuhuri ikiwa tayari alishapewa dhamana na anasuburia masharti ya dhamana.
Mawakili wa Lema tupo Mahakama Kuu Arusha wakati huu na tutawasilisha rufaa hiyo leo.

Anabaki rumande sio kwasababu Mahakama Kuu imemnyima dhamana bali anasubiri siku Mahakama Kuu itakapotengua maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi.

John Mallya
22/11/2016
Wamwache ndio kukomaa kisiasa,wakiwa nje oo mimi npo tayari kufungwa sasa mtu anakaa maabusu tu mawakiri sita uo ni uoga.
 
Waatu wa Maagufuli bwana akili zao zimezibwa kabisa na ukakasi wa udikteta sasa lema kumwambia Magufuli atakufa kwani uongo mbona kila binadamu atakufa yaani cha ajabu ni nini hapo jamani yaani Magufuli anakataa ubinadamu ambao kila aliyezaliwa na mamaye hupita tu katika ulimwengu na hakika ni ukweli kwamba alitoka mavumbini na atarudi mavumbini. Magufuli ameshindwa kazi nchi zingine sasa hivi kila mahali pangechemka ashukuru utapiamlo wa akili za watanzania ndio maana ana achwa akiharibu nchi namna hii
Kila mtu atakufa ndio lkn hakuna ajuaye nani atakufa lini, hiyo ni kazi ya Mungu pekee.

Lema alikufuru kupanga siku za Rais kuishi. Alikufuru sana.

Na alienda kinyume na injili, maana inafundisha kutii mamlaka.

Lema kwa namna nyingine, anataka kumuongoza Rais siyo Rais kumuongoza Lema. Hapo ndo amebug men
 
.....
.....Tulianza na Mungu na Tutamaliza na Mungu
Acha kukufuru wewe! Mungu gani huyo wenu ninyi!!
HATIMA YA DHAMANA YA MBUNGE WA JIMBO LA ARUSHA MJINI GODBLESS LEMA KUJULIKANA SIKU YA LEO JUMANNE 22.11.2016.

Hatima ya Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema itajulikana siku ya leo, kupata dhamana Au lah!

Kesi ya Jinai namba 440,441inayomkabili Lema itasomwa tena siku ya jumanne leo kama ilivyoamuliwa na Mahakama ya hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha tarehe 17 novemba 2016.

Jeshi la Polisi mkoani Arusha Mjini wanazuia wananchi kuingia mahakamani.

Taarifa ambazo tumezipata Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema ametafikishwa ndani ya viwanja vya mahakama kuu kuanzia saa nne.

Tayari Mbunge Godbless Lema ameshaingia mahakamani Na saa anashauriana na mawakili wake.

Mawakili upande wa serikali wanajitambulisha pamoja na mawakili upande wa Mbunge.

Hakimu anapitia marejeo ya kesi ya nyuma iliyofanya Lema asipewe dhamana.

Hakimu anatoa rulling anajibu hoja za upande wa serikali kwa queries walizozileta.

Hakimu anasema mshtakiwa ana haki ya rufaa na rufaa ni haki yake.

Hakimu ameondoa rufaa kuna mambo ya kisheria

Hakimu anasema Mawakili walitakiwa kukata rufaa kwenye ile ile Mahakama ya Mwanzo kwa Hakimu Mkazi, ndio mawakili wanaenda kushughulikia na sio kuomba review.

Hakimu anasema walitakiwa kukata rufaa kwenye ile ile mahakama ya mwanzo kwa hakimu mkazi ndio mawakili wanaenda kushughulikia.

Mahakama kuu kanda ya Arusha imetupilia mbali maombi ya mawakili wa Lema ya. kufanya marejeo ya hukumu ya dhamana. Hivyo Mawakili wa Lema wanakata Rufaa kwa hati ya dharura na kesi itasikilizwa tena.

Mawakili wanakata rufaa ndani ya masaa mawili.
Mbunge wa Arusha mjini Lema ametolewa kwenye viwanja vya mahakama kuu, na tayari amepelekwa gerezani, baada ya muda tutawajulisha kinachoendelea, Wakili Peter Kibatala ataongea na Waandishi wa Habari hapo baadae.

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema amesharudishwa magereza wakati mawakili wake wakiendelea kukataa rufaa ya kuzuia dhamana.
View attachment 437898

UPDATES;

Mahakama Kuu haijamnyima Lema dhamana, ilichoamua leo ni kuwa Lema anayo haki ya kukata rufaa kwenda Mahakama Kuu dhidi ya maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya kusema amefungwa mikono na notisi ya rufaa iliyotolewa na upande wa Jamuhuri ikiwa tayari alishapewa dhamana na anasuburia masharti ya dhamana.
Mawakili wa Lema tupo Mahakama Kuu Arusha wakati huu na tutawasilisha rufaa hiyo leo.

Anabaki rumande sio kwasababu Mahakama Kuu imemnyima dhamana bali anasubiri siku Mahakama Kuu itakapotengua maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi.

John Mallya
22/11/2016
 
Wakimalizana nae serikali itupe garama za kesi kwa ujumla na itueleze faida ya kesi hiyo kwa wananchi wa tanzania walipa kodi
Faida ya kesi hii ni kubwa sana! Lema amefundishwa adabu. Sasa atakuwa na heshima!!
 
Tuwe na kiasi katika kila jambo...Pole sana Mheshimiwa Lema. Kusema Rais anakufa kama wewe ndio the Godfather was wrong...you could keep it for yourself maana hata wewe utakufa.
Umejitakia matatizo bila sababu
 
udhalimu wa awamu hii utawatafuna kuanzia wake zao,mabinti zao,mahawara zao,na familia zao .
Unafiki umezidi kwani mtu kuelezea ndoto yake ni kosa?
Kufa ni lazima hata USIPOTABIRIWA HIVYO.
 
Kumnyima Lema dhamana kwa kesi ambayo ina dhamana ni kuidharirisha mahakama ya Tanzania na kuaminisha Watanzania kwamba mahakama zetu haziko huru, kesi za uchochezi ambayo hata mwalimu Nyerere alishitakiwa nazo na wakoloni ni kesi za watawala kunyamazisha wale wanaowapinga, mahakama yetu Tanzania inapaswa kujitafakari upya.
 
Walioko mahakamani watupe taarifa plz
Mlioko mahakamani leteni updates
Mahakama Kuu haijamnyima Lema dhamana, ilichoamua leo ni kuwa Lema anayo haki ya kukata rufaa kwenda Mahakama Kuu dhidi ya maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya kusema amefungwa mikono na notisi ya rufaa iliyotolewa na upande wa Jamuhuri ikiwa tayari alishapewa dhamana na anasuburia masharti ya dhamana.
Mawakili wa Lema tupo Mahakama Kuu Arusha wakati huu na tutawasilisha rufaa hiyo leo.

Anabaki rumande sio kwasababu Mahakama Kuu imemnyima dhamana bali anasubiri siku Mahakama Kuu itakapotengua maamuzi ya Mahakama ya Hakimu Mkazi.

Taarifa ni kuwa Lema karudishwa Magereza. Gwiji la sheria chadema alikosea sehemu ya kukata rufaa.
Aiseeee hadi hurumaaaa!
 
Hawa jamaa zamani walikuwa wanawahonga mahakimu, Mahakakimu wa sasa wanatekeleza kauli mbiu ya hapakazi kwa vitendo, wako smart sana na ndivyo inavyotakiwa

Back
Top Bottom