nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
Mi binafsi nategemea sana kusikiliza bunge nikiwa ofisini kupitia hii radio ya Online.
Lakini hivi karibuni imekuwa haieleweki mara wapo hewani , mara hawapo.
Naomba wahusika watuambie nini tatizo? au wamechimbwa mkwara na Magambaz??