Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,359
- 3,372
kauli ya kuudhi ni ipi? tuanzie hapo. Kama wewe ni mwizi/mwonevu mtu akikukalipia kinyume na wewe, kauli yake lazima kwa upande wako ni ya kuuzi, lakini ni njema mbele za Mungu. sasa orodhesha hizo kauli zako unazoziita za kuudhi TUZICHAMBUE. Taratibu usitokwe mapovuMUNGU yupi? huyu aliyetufundisha na kutuasa kuwa na kauli njema? Na kutokuwa na kauli za kuudhi