Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,482
- 286,930
Good NewsImebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).
Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.
Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )
Chanzo - MwanaHalisi .
Ngoma droo vipi wakati wameliwa ?Hiyo Ndo inaitwa "Ngoma droo"
Ni uthibitisho tu kuwa hawakuhongwa! Mengineyo ni blah blah...Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).
Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.
Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )
Chanzo - MwanaHalisi .
Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !
Ni aibu ya milele .
MwanaHalisi pia limeripoti kwa urefu kuhusu Bombadier inayosubiri kupigwa mnada wiki ijayo , hiyo nayo tunajitekenya ?Chanzo: Mwanahalisi...
yaani mnajipekenyua na kucheka wenyewe!
Kwa hiyo hawajadhulumiwa? 😀😀😀Chanzo: Mwanahalisi...
yaani mnajipekenyua na kucheka wenyewe!
Ha! Ha! Ha!Mijinga ndio iliwayo,Unajua kuna binadamu kumtofautisha na mnyama ni shughuli kweli.
Ulitaka Chanzo kiwe kile kipeperushi chenu cha uhuru??Chanzo: Mwanahalisi...
yaani mnajipekenyua na kucheka wenyewe!
Unapata 30,000,000/kwa wiki!!!!!!!!ngoja ufuatiliwe kama kodi unalipaa Kwa halali kulingana na mapato halisi ya biashara yako kama ulivyoyataja hapo juu.Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).
Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.
Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )
Chanzo - MwanaHalisi .
Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !
Ni aibu ya milele .
Kuhongwa sio lazima Cash tu, hata ahadi pia zinahusikaNi uthibitisho tu kuwa hawakuhongwa! Mengineyo ni blah blah...
hapana .. chanzo UHURUChanzo: Mwanahalisi...
yaani mnajipekenyua na kucheka wenyewe!
Wewe ni mmoja kati ya waliotapeliwa au waliotapeli??!! Maana kujua hiyo sili mpk uwe mshirika.Imebainika kwamba waliokuwa madiwani wa Chadema waliohama chama wilayani Meru na kujiuzulu , walipewa ahadi nono lakini hawajalipwa mpaka sasa ( wamepigwa puu ).
Uchunguzi umebaini kwamba madiwani hao waliahidiwa kila mmoja kitita cha hela za madafu milioni 30 , kwa ushawishi wa DC Alexander Mnyeti na Mkurugenzi wake Christopher Kazer.
Madiwani hao ni Anderson Sikawa ( Leguruki ) , Emmanuel Mollel ( Makiba ) , Greyson Isangya ( Maroroni ) , Josephine Mshiu ( viti maalum ) na Credo Kifukwe ( Muriet )
Chanzo - MwanaHalisi .
Mytake , Usaliti ni laana mbaya sana , hela ambayo napata dukani kwangu Kariakoo kwa muda wa wiki moja inamdhalilisha diwani aliyechaguliwa na maelfu ya wananchi !
Ni aibu ya milele .
Fuatilieni kwanza za makinikia ndiyo muanze kusumbua wajasiriamaliUnapata 30,000,000/kwa wiki!!!!!!!!ngoja ufuatiliwe kama kodi unalipaa Kwa halali kulingana na mapato halisi ya biashara yako kama ulivyoyataja hapo juu.