Tetesi: Arusha: Maandamano yaanza upya Leo

lakini si kwa kukitafuta mwenyewe kifo
Usiache kudai haki yako kwa kuogopa kufa. Kufa ni wajibu usiokwepeka. Usipokufa kwa risasi, utakufa kwa ajali. Usipokufa kwa ajali, utakufa kwa ugonjwa (hata unaotibika). No matter what, when it’s time to die, you surely will die. We die only once!

So just go ahead and fight for your right!
 

Sirikali ya Idd Amin Mama imefanya jambo la ajabu la kuua watu ovyo.

Nawaambia tu ukweli ,watu waende makaburi ya Bahari Beach Kondo aiseee wamezika miili takribani 300 kwa pamoja ,vyombo vya uchunguzi viende pale vitaona ,hawa jamaa hawakwepi ICC.
 
Sijajua Kwa kesho jumatatu hali itakavyokuwa
Hali si nzuri sana huku wakuu kuna mida niliona magari ya Askari yanapishana na milio fulani ya silaha za moto, kwa navyosikia kesho kuingia mjini ni kamzozo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…