Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,416
- 18,443
Hali sio hali Kwa Sasa Maandamano yameanza upya Morombo, Ngaramtoni na arumeru.
Ntaleta update ya kinachoendelea.
Baadhi ya maeneo yenye vurugu wananchi wapewa amri ya kutoka kutoka nje .
Madai ya wananchi ni kuhusiana na kupewa miili ya ndugu zao ambayo haijulikani ilipo Hadi Sasa.