Lema alisema kuanzia sasa sio mstaafu bali ni waziri mkuu aliejiudhuru kwa kashfa ya ufisadi, tena akaongeza huyu mzee ni mnafiki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], na hajawahi kubadili kauli hadi leoTAARIFA-CHADEMA KANDA YA KASKAZINI
Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa, Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wataongozana na Katibu wa kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro siku ya kesho watamtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika Gereza la Kisongo .
Kwani Lemma Kamfanya nn Rais?Kama ingekuwa ni MIMI ningempigia simu DPP na kumwambia aweke NOLLE PROSEQUI/Serikali haina haja ya kuendelea na kesi hii.
Hapo ANGEZIMA UKAWA!
Si kwamba LEMA hajakosa bali Magufuli angekuwa amecheza KARATA ya kisiasa kubwa sana na FAIDA kwa upande wake.
Maana the more LEMA anahangaika kupata DHAMANA, ndivyo Magufuli ANAVYOUJENGA na kuupa NGUVU upinzani.
Wazungu walimfunga Mandela ili kumnyamazisha kwa miaka 27.
Ilibidi De Klerk amsamehe na kusema aruhusiwe kugombea URAIS na hatimaye akawa RAIS.
NGUVU na VITISHO havisaidii. bali ni UJANJA na HEKIMA za kisiasa ambazo ni LAZIMA Magufuli ajue kuzicheza!
Kubalansi kati ya USOMI, UTAWALA, Na more importantly kuwa MWANASISASA mjanja.
Kiasi kuwa unaweza kufanya kazi hata na yule aliyekuwa anakuombea mabaya.
Nchi ya jirani zetu. Moi wa Kenya alimfunga Odinga mara nyingi sana akijaribu kumnyamazisha.Lakini Haikumsaidia mpaka ilibidi Moi kuwa mwana siasa MWELEVU na MJANJA.
Akamwingiza katika chama chake cha KANU na kumfanya kuwa katibu mkuu.NCHI IKATULIA KIASI.
HUO NDO UJANJA wa KISIASA.
KUTUMIA NGUVU na mamlaka na vyombo vya dola mara nyingi HAKULIPI bali huzaa REBELLION/UASI na political tensions ambazo HAZINA maana na impact zake ni kubwa sana kitaifa!
Kwanza CV yetu kama taifa na ya RAIS kimataifa INAHARIBIKA sana!!!
Rais Magufuli AKIMSAMEHE Lema hatakuwa AMEPOTEZA chochote bali atakuwa amewafunga wapinzani MAGOLI.
Hata hivyo akili ni nywele kila mtu ana zake!
Mkuu, kwani Lema yuko likizo gerezani?Kwani Lemma Kamfanya nn Rais?
Hapana.ok sawaa aende maana watu walikuwa wameshaanza kumzushia na kumlisha maneno
Mimi sizungumzii jamaa yetu ama siyo yetu.Kwani Magufuli ndio kamuweka jamaa yenu ndani?
Weka na ile Makonda anamtwanga mangumi mzee Warioba!Labda watatafuta suluhu na kumaliza tofauti zao, yaani kati ya Lema na fisadi Lowasa!
Utakuwa huzijui siasa!!Labda watatafuta suluhu na kumaliza tofauti zao, yaani kati ya Lema na fisadi Lowasa!
Sidhani kama wataruhusiwa kumuonaMungu awatangulie
Hakuna rafiki/adui wa kudumu wa katika siasa, labda nimeliona kwa mtu mmoja tu...!da nimefikiria mbali sana sikutegemea kama kuna siku lema , atakuja kukaa meza moja na lowasa
Mwenye kusikia na asikieKama ingekuwa ni MIMI ningempigia simu DPP na kumwambia aweke NOLLE PROSEQUI/Serikali haina haja ya kuendelea na kesi hii.
Hapo ANGEZIMA UKAWA!
Si kwamba LEMA hajakosa bali Magufuli angekuwa amecheza KARATA ya kisiasa kubwa sana na FAIDA kwa upande wake.
Maana the more LEMA anahangaika kupata DHAMANA, ndivyo Magufuli ANAVYOUJENGA na kuupa NGUVU upinzani.
Wazungu walimfunga Mandela ili kumnyamazisha kwa miaka 27.
Ilibidi De Klerk amsamehe na kusema aruhusiwe kugombea URAIS na hatimaye akawa RAIS.
NGUVU na VITISHO havisaidii. bali ni UJANJA na HEKIMA za kisiasa ambazo ni LAZIMA Magufuli ajue kuzicheza!
Kubalansi kati ya USOMI, UTAWALA, Na more importantly kuwa MWANASISASA mjanja.
Kiasi kuwa unaweza kufanya kazi hata na yule aliyekuwa anakuombea mabaya.
Nchi ya jirani zetu. Moi wa Kenya alimfunga Odinga mara nyingi sana akijaribu kumnyamazisha.Lakini Haikumsaidia mpaka ilibidi Moi kuwa mwana siasa MWELEVU na MJANJA.
Akamwingiza katika chama chake cha KANU na kumfanya kuwa katibu mkuu.NCHI IKATULIA KIASI.
HUO NDO UJANJA wa KISIASA.
KUTUMIA NGUVU na mamlaka na vyombo vya dola mara nyingi HAKULIPI bali huzaa REBELLION/UASI na political tensions ambazo HAZINA maana na impact zake ni kubwa sana kitaifa!
Kwanza CV yetu kama taifa na ya RAIS kimataifa INAHARIBIKA sana!!!
Rais Magufuli AKIMSAMEHE Lema hatakuwa AMEPOTEZA chochote bali atakuwa amewafunga wapinzani MAGOLI.
Hata hivyo akili ni nywele kila mtu ana zake!
Lazima muoge hiyo dhambi kwanza......
.....Kuzeni ubongo naona umeumia sana
Hawanuni ila wanafurahi amejirudi na kufuata ushauri wao.....
.......aiseehh wengine pande ileee wameanza kununa
Sahihisha kwanza Lowasa sio waziri mkuu mstaafu.TAARIFA-CHADEMA KANDA YA KASKAZINI
Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa, Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wataongozana na Katibu wa kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Kalist Lazaro siku ya kesho watamtembelea Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Godbless Lema katika Gereza la Kisongo .
Kwahiyo fisadi Lowassa na mpinga ufisadi Lema wameelewana!! Basi sawa!Waarabu walipasua mimba za mama zenu na wakawahubiria injili ya dini mkaikubali.... Wazungu waliwapiga mijeledi...walipora rasilimali zenu na kuwaita nyani bado mliipokea injili yao ya Yesu.... Bado mnapata misaada yao na kuishi katika utamaduni wao...
Hata sauli baada ya kuua sana baadae alihubiri injili na walioteswa naye wakaipokea!!
wacha alipe jema kwa ovuLabda watatafuta suluhu na kumaliza tofauti zao, yaani kati ya Lema na fisadi Lowasa!