ARUSHA: Lowassa kumtembelea Lema gerezani Kisongo

Natabiri taarifa za kiintelejensia zitatolewa asubuhi kuwa siku hiyo haifa kutembelea wafungwa. Utabiri unaonyesha kutakuwa na mvua itakayoambatana na vitu vyenye ncha kali.
 
Mwehu vipi? Lema alitangaza kwamba ni heshima kubwa kwa Mungu kumzomea Fisadi! Ndio maana huyo kusema labda watatafuta suluhu!!
Unajuaje kama hiyo suluhu haijawahi kupatikana,ni mara ngapi Lema na lowassa wameshaonana baada ya lowassa kuhamia CDM?
Ndio maana namwita mwehu!
 
Kwani Magufuli ndio kamuweka jamaa yenu ndani?

Nyie wanasiasa mnafurahisha sana, hivi Lowasa asingekatwa akahamia CDM mngemtetea kama hivi mnavyomtetea sasa hivi kwa nguvu zote? au ndio mnafuata upepo tu.
 
>>>>>Kamanda mwaka mpya anauonea Kisongo........ Ngoja nami nitaenda kumsalimia.
 
Nawashauri wasiende.Kwanza wajue mtu wao aliyeko gerezani hana adabu.Wakienda watazidi kukoleza moto na wanamchelewesha lema mahabusu.
 
Mbona unaweweseka?
 
Mbona unaweweseka?
Mkuu mimi nimetoa mtazamo wangu kuzingatia hali ya kisiasa ya mkoa wa Arusha.

Tatizo lenu cdm mnafikiri kishabiki sana..!

Fanye vitu bila kutafuta kiki..! Mtaeleweka tuu..[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Nyie wanasiasa mnafurahisha sana, hivi Lowasa asingekatwa akahamia CDM mngemtetea kama hivi mnavyomtetea sasa hivi kwa nguvu zote? au ndio mnafuata upepo tu.
Ili uweze kukaa cdm inabidi uwe na uwezo wa kufanya ukweli uwe uongo!

Lowassa alichafuliwa na cdm na anasafiswa na cdm...

Yaani ikitokea lowasa akarudi ccm leo asubuhi ...jioni wanaanza kumtukana upya..!

[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mkuu mimi ninetoa mtazamo wangu kuzingatia hali ya kisiasa ya mkoa wa Arusha.

Tatizo lenu cdm mnafikiri kishabiki sana..!

Fanye vitu bila kutafuta kiki..! Mtaeleweka tuu..[emoji41][emoji41][emoji41]
Basi una mtazamo wa ajabu sana kwa kuhisi nje yako ni cdm
 
Nyie wanasiasa mnafurahisha sana, hivi Lowasa asingekatwa akahamia CDM mngemtetea kama hivi mnavyomtetea sasa hivi kwa nguvu zote? au ndio mnafuata upepo tu.
Ndipo waliponasa kwenye mtego CDM kwa kumpokea waliyemtangaza Fisadi Papa kwa miaka 8 na sasa wako naye na kuwaambia CCM eti wampeleke Mahakamani! Ebo! Si wao wana ushahidi? Mbona hawampeleki Mahakamani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…