Arusha: Lissu 'atikisa' mkutano wa TLS, maombi maalum yafanyika kwa ajili yake

Mawakili Wasomi wa Tanganyika,katika mwamvuli wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS),wamefanya maombi maalum kwa ajili ya Rais wa TLS Tundu A.M. Lissu aliyelazwa Nairobi,Kenya.

Maombi hayo maalum yamefanyika katika ufunguzi wa Mkutano wa nusu mwaka wa TLS unaofanyika hapa Hoteli ya Mount Meru. Mawakili Wasomi,kwa ujumla wao,walisimama na kufanya maombi hayo yaliyolenga kumtakia heri na kupona haraka.

Maombi husika yaliongozwa na Mawakili Wasomi,toka ukristu na uislamu,wenye uelewa mpana wa masuala ya dini hiyo. Hakika,kulikuwa na utulivu na unyenyekevu mkubwa wakati wa maombi hayo maalum!

NB: Mkutano unaendelea. Inatarajiwa,Lissu na tukio lake zima kubeba mazungumzo ya mkutano huu.
SI NASIKIA HUU ULIKUWA MKUTANO AMBAO AJENDA MOJAWAPO ILIKUWA KUMU-IMPEACH NDIYO MAANA AKAAMUA KUUMIA NA KULAZWA NAIROBI
 
Sawa vp wale Mabilionea wezi wa immmmmmma waliomteua Ukuu wa tls mbona hawachangii matibabu yake? Vp F. Karume, Masha &Co. walikuwepo au bado wamejificha kwa aibu?

Hivi bashite unadhani una maisha ya miaka mingapi unadhani Dili lakini na baba yako litawaacha salama
 
Mawakili Wasomi wa Tanganyika,katika mwamvuli wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS),wamefanya maombi maalum kwa ajili ya Rais wa TLS Tundu A.M. Lissu aliyelazwa Nairobi,Kenya.

Maombi hayo maalum yamefanyika katika ufunguzi wa Mkutano wa nusu mwaka wa TLS unaofanyika hapa Hoteli ya Mount Meru. Mawakili Wasomi,kwa ujumla wao,walisimama na kufanya maombi hayo yaliyolenga kumtakia heri na kupona haraka.

Maombi husika yaliongozwa na Mawakili Wasomi,toka ukristu na uislamu,wenye uelewa mpana wa masuala ya dini hiyo. Hakika,kulikuwa na utulivu na unyenyekevu mkubwa wakati wa maombi hayo maalum!

NB: Mkutano unaendelea. Inatarajiwa,Lissu na tukio lake zima kubeba mazungumzo ya mkutano huu.
Kapicha mkuu
 
Mkutano huo uliisha salama bila kuvamiwa na polisi? Maana siku hizi imeshaandikwa kwenye msahafu na biblia Pogba ndiyo pekee wa kuombewa
 
1. naanza kwa kusema AMENI
2. Nilkuwa nauliza si walisema baadhi ya wanalumumba kuwa LISSU haungwi mkono na wanasheria wengi?
 
Kweli ipo siku Uongo Utatupwa mbali na Ukweli UTATAMALAKI
Viva LISSU Viva LISSU
Get well soon LISSU
 
Back
Top Bottom