Arusha: Lissu 'atikisa' mkutano wa TLS, maombi maalum yafanyika kwa ajili yake

Mawakili mkusanyiko wao nikama wa inzi ukidondosha kidongo tu wote wanatawanyika shame watabakia kuvaa tai na kuwakamua wateja wao rais wenu aliitisha mgomo wa two days mkamgomea leo mnamuombea nini unafiki mtupu
 
Hakutikisa kitanda Nairobi lakini kaweza kutikisa mkutano Arusha! Maajabu haya
 
Mawakili Wasomi wa Tanganyika,katika mwamvuli wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS),wamefanya maombi maalum kwa ajili ya Rais wa TLS Tundu A.M. Lissu aliyelazwa Nairobi,Kenya.

Maombi hayo maalum yamefanyika katika ufunguzi wa Mkutano wa nusu mwaka wa TLS unaofanyika hapa Hoteli ya Mount Meru. Mawakili Wasomi,kwa ujumla wao,walisimama na kufanya maombi hayo yaliyolenga kumtakia heri na kupona haraka.

Maombi husika yaliongozwa na Mawakili Wasomi,toka ukristu na uislamu,wenye uelewa mpana wa masuala ya dini hiyo. Hakika,kulikuwa na utulivu na unyenyekevu mkubwa wakati wa maombi hayo maalum!

NB: Mkutano unaendelea. Inatarajiwa,Lissu na tukio lake zima kubeba mazungumzo ya mkutano huu.

Hilo neno "Mawakili Wasomi" huwa linanikera sana kuliko maneno yote duniani.
 
Shetani na mapepo yake yanayoteka, kuua na kujeruhi damu zisizo na hatia yanaungua na hayana raha. Yes!!!! Pray 4 TL apone na Mungu alipaye kisasi awashughulikie mashetani na mapepo yake
 
sijawahi kuona mawakili dhaifu kama watz. hivi kweli tumeshindwa hata kuandamana kidogo tu kupinga hii kitu, achilia mbali aliyepigwa ni mwanasheria mwenzetu lakini sasa huyo sio mwanasheria mwenzetu tu, ni Rais wa TLS! hadi mange amefanya makuu kuliko mawakili, aibu sana.
Naunga mkono hoja yako. Wametia aibu. Hata tAmko Kali hakuna?
 
Mawakili Wasomi wa Tanganyika,katika mwamvuli wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS),wamefanya maombi maalum kwa ajili ya Rais wa TLS Tundu A.M. Lissu aliyelazwa Nairobi,Kenya.

Maombi hayo maalum yamefanyika katika ufunguzi wa Mkutano wa nusu mwaka wa TLS unaofanyika hapa Hoteli ya Mount Meru. Mawakili Wasomi,kwa ujumla wao,walisimama na kufanya maombi hayo yaliyolenga kumtakia heri na kupona haraka.

Maombi husika yaliongozwa na Mawakili Wasomi,toka ukristu na uislamu,wenye uelewa mpana wa masuala ya dini hiyo. Hakika,kulikuwa na utulivu na unyenyekevu mkubwa wakati wa maombi hayo maalum!

NB: Mkutano unaendelea. Inatarajiwa,Lissu na tukio lake zima kubeba mazungumzo ya mkutano huu.
Mawakili wasomi zaidi ya mara 10. Kweli watu na taaluma zenu
 
Back
Top Bottom