Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,799
- 165,546
Waandishi wenyewe habari za wao kuingiliwa katika kazi zao hawazipi kipaumbel badala yake wako busy kumsifia mtukufu.
Pathetic!
Pathetic!
Mkuu Salary Slip siyo waandishi wa habari wote huwa wanaandika habari za kumsifia mtukufu japokuwa asilimia kubwa ndo wanafanya hivyo ila wachache ndo wanatatimiza wajibu waoWaandishi wenyewe habari za wao kuingiliwa katika kazi zao hawazipi kipaumbel badala yake wako busy kumsifia mtukufu.
Pathetic!
Halafu ulazwe kwa matibabuUji wa mgonjwa ukinywa lazima uugue
tunaangamia kwa kukosa maarifa" ...haijaandikwa kwamba 'tunaangamia kwa kukosa nguvu au silaha'.
Wewe ndio unatakiwa kujiongeza na kutuletea mambo ya kipuuzi ya Lema huku.Jiongeze kidogo na wewe...
Ungekuwa karibu ningekuzawadia...............Hakimu alifunge jeshi la polisi.
Hadi raha hakuna ujinga hapo nje. wasogee waone.Nje ya mahakama Arusha kesi ya LemaView attachment 435377
Hayo LEMA ndio alitakiwa ashughilikie sio kuhutubia habari za ndoto na maono wananchi wanataka maji,afya nk yeye kakalia ndoto na maonoMatatizo ya msingi yapo huku mtaani kwetu, na sio kuhangaika na ndoto ya mtuView attachment 435352
Kazi za polisi ni kulinda nje ya mahakama kuhakikisha mahakama ziko salama kuendelea na kazi zake.Hapo polisi wako sahihi ni kazi yao kulinda hapo pichani wamekaa kisheria kabisaNje ya mahakama Arusha kesi ya LemaView attachment 435377
Sasa hivi Lema anapata kuota vizuri sana, usiku na mchana.
Pia watu wengine wanafutilia kesi nyingine za ardhi zinaendelea mahakamani leoDomokaya......hata refa anayo mamlaka ya kumpa red card mtu aliyekaa kwenye jukwaa ana angalia mpira.RMS court ARK ina uzio na hapo askari walikaa getini kuzuia watu kuingia.bila kujali wengine wana kesi zao za kujibu na wengine wapo kwenye dhamana na wasipotokea mahakamani ni adhabu tu.
Kahaba unaona ni jina zuri??Nikiambiwa wewe nikahaba hata show ya bure sitaki maana najua wewe ni kahaba!Hukulipenda jibu, au hutaki kumzawadia mkeo au mumeo?
Ukiisoma Biblia vizuri utakuta katika vizazi alivyopachikwa navyo Yesu kuna kahaba. Bisha.
Ujinga hauondoki kwa kumchukia mwenye akili, umasikini hauondoki kwa kumchukia tajiri, kuhesabu dhambi za mwenzio hakukufanyi wewe kuwa mtakatifu":- Mchungaji PeterSasa hivi Lema anapata kuota vizuri sana, usiku na mchana.
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]Wewe ndio unatakiwa kujiongeza na kutuletea mambo ya kipuuzi ya Lema huku.
Kuna wabunge wangapi wa Upinzani Nchi hii na wanafanya vizuri na hawako mahakamani kila siku? hujiulizi hata kwanini?
Lema na Uropokaji wake ana madhara gani kwa Serikali? ni kipi hasa Lema anapigania Arusha? Jiji liko chini ya Chadema anaataka nini tena? ni haki gani Lema ananyimwa? unataka awe anatukana viongozi tena kuwaita mpaka mashoga afu aachwe? acheni Up.uu.zi wenu .Acha Dola itumie mabavu dhidi yake.
Hadi raha hakuna ujinga hapo nje. wasogee waone.
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]Sasa hivi Lema anapata kuota vizuri sana, usiku na mchana.
Tena anapata muda hasa masaa 24 akiwa rumande ataota vyote hadi vimwishie.Kisongo panamfaa sana.
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]Nashangaa watu wanahangaika na lema wakati ameenda Kisongo kwa mapenzi yake mwenyewe.