Unafukuzwa?Da mboba kazi saaa kwani kuna nini hadi watashi wa habari hakuna kuigia
Kumbe ndio empty set hiviHakimu alifunge jeshi la polisi.
Wamepewa agizo kutoka juu wawazuieJana baada kusikilizwa kesi ya Mbunge Lema.
Arusha. Wakati askari polisi saba watatoa ushahidi mahakamani katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, Mahakama imetoa onyo kwa askari Polisi na Magereza wanaowasumbua waandishi wa habari na wananchi.
Onyo hilo lilitolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Arusha, Augustino Rwezile baada ya askari Magereza wakiwa na silaha kuwafukuza waandishi wa habari waliotaka kuchukua kumbukumbu za Lema kufikishwa mahakamani.
Pia, aliwaonya Polisi ambao wamekuwa wakilalamikiwa kwa kuwazuia wananchi wanapokwenda kusikiliza kesi ya mbunge huyo.
Leo Alhamisi kuanzia majira ya saa mbili asubuhi Jeshi la Polisi wamezuia wananchi pamoja na waandishi wa habari kuingia ndani eneo la mahakama kufutilia kesi ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema.
Jeshi la Polisi Arusha wamedharau Amri ya Hakimu Rwezile ambayo ametoa jana.
Nje ya mahakama Arusha kesi ya Lema
View attachment 435378
My take: Jeshi la Polisi wanatoa wapi mamlaka ya kudharau Amri ya Mahakama kupitia Hakimu Rwezile?
[emoji23] [emoji23]Hakimu alifunge jeshi la polisi.
NDIO MAANA WANA STAFU KAZI HATA KIBANDA CHA VYUMBA VIWILI HAWANA WANAISHIA KUKODI TUUPolice watakufa masikini
Kwa hio huo ndio mwisho wako wakufikiriNDIO MAANA WANA STAFU KAZI HATA KIBANDA CHA VYUMBA VIWILI HAWANA WANAISHIA KUKODI TUU
Ndoto ya jambazi pia.Aibu sana majambazi yanatamba kila siku lakini polisi wanahangaika na ndoto.
Kutumia nguvu bila kufwata sheria ni hujuha. ningekuelewa kama ungesema acha sheria ifwate mkondo wake lkn kwa hiki kinachofanyika hakikubaliki hata kidogo. Iko siku utapita ndio utajua ubaya wa kutumia nguvu bila weledi.Wewe ndio unatakiwa kujiongeza na kutuletea mambo ya kipuuzi ya Lema huku.
Kuna wabunge wangapi wa Upinzani Nchi hii na wanafanya vizuri na hawako mahakamani kila siku? hujiulizi hata kwanini?
Lema na Uropokaji wake ana madhara gani kwa Serikali? ni kipi hasa Lema anapigania Arusha? Jiji liko chini ya Chadema anaataka nini tena? ni haki gani Lema ananyimwa? unataka awe anatukana viongozi tena kuwaita mpaka mashoga afu aachwe? acheni Up.uu.zi wenu .Acha Dola itumie mabavu dhidi yake.
Hakimu ni hakimu tu,hausiki na Ulinzi wa mahabusu Polisi wana uwezo na mamlaka ya kuhakikisha kua usalama unakuwepo na hawatorokewi na mtuhumiwa/watuhumiwa.Jana baada kusikilizwa kesi ya Mbunge Lema.
Arusha. Wakati askari polisi saba watatoa ushahidi mahakamani katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, Mahakama imetoa onyo kwa askari Polisi na Magereza wanaowasumbua waandishi wa habari na wananchi.
Onyo hilo lilitolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Mkoa wa Arusha, Augustino Rwezile baada ya askari Magereza wakiwa na silaha kuwafukuza waandishi wa habari waliotaka kuchukua kumbukumbu za Lema kufikishwa mahakamani.
Pia, aliwaonya Polisi ambao wamekuwa wakilalamikiwa kwa kuwazuia wananchi wanapokwenda kusikiliza kesi ya mbunge huyo.
Leo Alhamisi kuanzia majira ya saa mbili asubuhi Jeshi la Polisi wamezuia wananchi pamoja na waandishi wa habari kuingia ndani eneo la mahakama kufutilia kesi ya Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema.
Jeshi la Polisi Arusha wamedharau Amri ya Hakimu Rwezile ambayo ametoa jana.
Nje ya mahakama Arusha kesi ya Lema
View attachment 435378
My take: Jeshi la Polisi wanatoa wapi mamlaka ya kudharau Amri ya Mahakama kupitia Hakimu Rwezile?
Rudia kusoma hii labda hujaelewa.Hakimu ni hakimu tu,hausiki na Ulinzi wa mahabusu Polisi wana uwezo na mamlaka ya kuhakikisha kua usalama unakuwepo na hawatorokewi na mtuhumiwa/watuhumiwa.
Jana baada kusikilizwa kesi ya Mbunge Lema.