Arusha: Lema 'aendelea kuongoza' akiwa mahabusu


Kamanda hebu tupe japo mfano wa jambo moja ambalo hutakiwa kufanyika au ambalo limewai kufanyika ambapo Lema aliombwa kwanza ndilo likafanyika..
Pia twambie aliombwa kama nani? Lema ana mamlaka gani kwenye jambo gani kwenye kitu gani ambapo ni lazima atoe ruhusa ndipo lifanyike au kifanyike?
Hebu tueleze ni nani humuomba ruhusa ili kufanya jambo fulani?
 
Post ya ajabu kabisa hii. Inawezekana vipi Mzee kama wewe uandike habari kama mashairi ya taarabu!
Yako ndio ya ajabu zaidi maana imekuwa ni zaidi ya mashairi ya taarabu! Weka hoja watu wakuelewe!
 
Yako ndio ya ajabu zaidi maana imekuwa ni zaidi ya mashairi ya taarabu! Weka hoja watu wakuelewe!
Habari yoyote isiyo na ushahidi, ni taarabu tu! Hapo juu, Ruttashobolwa ameomba mfano mmoja tu wa maamuzi yaliyofanywa baada ya kuomba ushauri kutoka kwa Lema. Kimya!

Kama wewe unao, uweke hapa na nitaomba samahani kwa kauli yangu. Ukikaa kimya, mi niko sawa!!!
 
Jamaa amekula cha Olkokola kabla hajaandika thread.
 
Jidanganye tu siku utapoingia kule ndo utajua pakoje !
 
Mwana ccm anayejitambua....cc vuta- nkuvute
 
Mi Mibunge ya ccm Ni kama miumbwa iliyofundishwa kurespond kwa kengele .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…