MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,180
Mungu aendelee kukulinda Godbless Lema
Ndiyo ukweli wenyewe.mkuu umenifurahisha😀😀😀😀😀😀
Mkuu yaan hii road ni full carpet wala co sir.....
.....LEMA umetisha Arusha kama London Sakina Mianzini Sanawari Philips Kimandolu Mpaka Tengeru road ya kutisha
Kama Mandela alivyokuwa mfungwa na makaburu wazungu Lema anasumbuliwa na makaburu uchwaraInaonyesha jinsi wengi wenu chadema mlivyo mbumbumbu.mfungwa ni mfungwa tu.
Naanza kugundua kuwa BAVICHA wote ni KE,
Inaonyesha jinsi wengi wenu chadema mlivyo mbumbumbu.mfungwa ni mfungwa tu.