Arusha kukumbwa na PANYA Road

Arusha kukumbwa na PANYA Road

ton bn

Member
Joined
Mar 6, 2015
Posts
22
Reaction score
5
Salaam wana,wasiwasi unazidi kutanda miongoni mwa wadada wa hapa baada ya wimbi kubwa la ulaji wa utumbo na miguu ya kuku kushika kasi hapa mjini,hasa kwa wanaume kama wale wenzetu wa ..........hofu hiyo inaeleza kuwa huenda wanaume wakawa rojo na kulazwa saa tisa kama wale wengine,endapo rat wataingia mtaani,maeneo ya sanawari ndo yameathirika zaidi
 
Back
Top Bottom