Arusha kuchafu sana

Arusha kuchafu sana

Manka4change

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
21
Reaction score
0
Jamani mimi ni mkazi wa Arusha Mjini, Jamani ndugu za sijui mbunge wetu ana matatizo gani pale soko la mjini linatia aibu please do something.

Mimi naipenda sana CHADEMA ila utendaje kazi wao i ready dont understand.. Good example ni hapa Arusha ni chafu jamani.. Kama Lema utasoma hii topic please do sumthing about soko la hapo mjini..
 
Jamani mimi ni mkazi wa arusha mjini... Jamani ndugu za sijui mbunge wetu anamatatizo gani pale soko la mjini linatia aibu please do sumthing... Mimi naipenda sana chadema ila utendaje kazi wao i ready dont understand.. Good example ni hapa arusha nichafu jamani.. Kama lema utasoma hii topic please do sumthing about soko la hapo mjini..

Join Date : 20th March 2013
Posts : 2
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
 
Mji ni mchafu kweli ila sio jukumu la Mbunge peke yake. Ww umesafisha mbele ya nyumba yako leo? Uongozi wa jiji ni hovyo kabisa.
 
Everyone iz responsible.... My point is soko la arusha mjini... We ----- nini do you want me to clean that market.. Yeye kama kiongozi can do sumthing about it..
 
KAbla ya kumuuliza mbunge anafanya nini ungeuliza Halmashauri ya Jiji inayokusanya kodi kwenye lile soko hizo kodi zinaenda wapi na madiwani na Bwana Afya wa jiji wako wapi kuhakikisha kuwa soko linakuwa safi

Nini maana ya kukusanya kodi wakati hazifanyi kazi iliyokusudiwa maana kila mfanyabiashara wa lile soko anatoa ushuru kwa ajili ya masuala ya usafi
wameajiri vibarua ambao kila siku wanapita na ufagio saa mbili saa nne washamaliza kazi na wanalipwa na then
 
This has been goin on and on for ages now people how are responsible are not doin it sasa why shoud't we question mbunge wetu.. Come on kama kitu kidogo kama usafi wa jiji ni tatizo... Je hospitali ajira?? Com on
 
Jamani mimi ni mkazi wa Arusha Mjini, Jamani ndugu za sijui mbunge wetu ana matatizo gani pale soko la mjini linatia aibu please do something.

Mimi naipenda sana CHADEMA ila utendaje kazi wao i ready dont understand.. Good example ni hapa Arusha ni chafu jamani.. Kama Lema utasoma hii topic please do sumthing about soko la hapo mjini..

Yaani wewe ni kilaza kweli kweli....... Kajipange upya urudi
 
This has been goin on and on for ages now people how are responsible are not doin it sasa why shoud't we question mbunge wetu.. Come on kama kitu kidogo kama usafi wa jiji ni tatizo... Je hospitali ajira?? Com on

Umetumwa hakika......tatizo walokutuma hawajakupa maelekezo vizuri...... Ona unavyoaibika huku....... Tumia kiswahili itapendeza zaidi...... Kilaza wewe
 
This has been goin on and on for ages now people how are responsible are not doin it sasa why shoud't we question mbunge wetu.. Come on kama kitu kidogo kama usafi wa jiji ni tatizo... Je hospitali ajira?? Com on

manka uko vizuri katika kingereza..hongera manka mushi hiv ulisoma shule gani vile?;(
 
jamani mimi ni mkazi wa arusha mjini, jamani ndugu za sijui mbunge wetu ana matatizo gani pale soko la mjini linatia aibu please do something.

Mimi naipenda sana chadema ila utendaje kazi wao i ready dont understand.. Good example ni hapa arusha ni chafu jamani.. Kama lema utasoma hii topic please do sumthing about soko la hapo mjini..

kwani meya anafanya kazi gani?
 
KAbla ya kumuuliza mbunge anafanya nini ungeuliza Halmashauri ya Jiji inayokusanya kodi kwenye lile soko hizo kodi zinaenda wapi na madiwani na Bwana Afya wa jiji wako wapi kuhakikisha kuwa soko linakuwa safi

Nini maana ya kukusanya kodi wakati hazifanyi kazi iliyokusudiwa maana kila mfanyabiashara wa lile soko anatoa ushuru kwa ajili ya masuala ya usafi
wameajiri vibarua ambao kila siku wanapita na ufagio saa mbili saa nne washamaliza kazi na wanalipwa na then
Mbunge hakwepi hili kwani kwa nafasi yake ni mjumbe ktk vikao vya baraza la madiwani
 
Everyone iz responsible.... My point is soko la arusha mjini... We ----- nini do you want me to clean that market.. Yeye kama kiongozi can do sumthing about it..

Dogo umeingia choo cha kike, kwanza hujasalimu hata wakubwa zako halafu acha kujifanya unajua kumbe unaungua na jua.

Fikiri kwa kutumia akili na siyo masaburi, ulitaka Lema amlete mke wake asafiche soko?
 
This has been goin on and on for ages now people how are responsible are not doin it sasa why shoud't we question mbunge wetu.. Come on kama kitu kidogo kama usafi wa jiji ni tatizo... Je hospitali ajira?? Com on

Dah!! MANKA, English yako imenyooka mbaya!!! Kwi, kwi, kwiiiiiiii
 
We sweetlady... Kweli watanzania hatuna akili instead of sayin wht should be don.. Eti nimetumwa maybe alienituma ni babako mdogo...
 
Mbunge hakwepi hili kwani kwa nafasi yake ni mjumbe ktk vikao vya baraza la madiwani

Hata wakazi wa Arusha hawakwepi hilo kwasababu ndio wenye makazi yao. Swali ni kwanini aulizwe mbunge pekee katika hilo wakati wahusika ni wengi? Bila shaka mtoa hoja katumwa au ana lake jambo dhidi ya mbunge!

Muhimu hapo tujiulize, kodi inayokusanywa inatumikaje? Nahisi harufu ya ubadhilifu wa hela za wananchi. Mbunge atakapofuatilia, waseme analeta vurugu. Tutafakari zaidi!
 
Everyone iz responsible.... My point is soko la arusha mjini... We ----- nini do you want me to clean that market.. Yeye kama kiongozi can do sumthing about it..

Swala la usafi linatuhusu sote kila mtu kwa nafasi yake Kama ilivyo kwamba sisi ndo wazalishaji wa hizo taka pia tunapaswa
 
Everyone iz responsible.... My point is soko la arusha mjini... We ----- nini do you want me to clean that market.. Yeye kama kiongozi can do sumthing about it..

Swala la usafi linatuhusu sote kila mtu kwa nafasi yake Kama ilivyo kwamba sisi ndo wazalishaji wa hizo taka pia tunapaswa kuwa wastaarabu kujua wapi pa kuzihifadhi badala ya kutupa hovyo,na sioni kama kuna sababu yeyote ya kumlaumu mbunge ama meya ktk hili kwani kuna wasimamizi wa majukumu kwa sehemu hizo ni bora basi wangelaumiwa wao,ikiwa ni sokoni yupo pia Mkuu wa Soko husika zipo idara za Soko zenye kuhusiana na usafi,ukiona hazitekelezi majukumu yao ipasavyo waweza sasa kulalamika AMA kuwatolea taarifa ngazi za juu Kama huko kwa mbunge
 
Back
Top Bottom