Arusha: Kinana, Nape awageuza CCM "Toys"

Arusha: Kinana, Nape awageuza CCM "Toys"

Tembo hawazaliwi wakiwa na pembe, LOL, hii imenikumbusha topic ya adaptation kwenye biology form four. Kama hilo ni kweli, basi Mungu Mwema
 
Tembo siyo kwamba hawazaliwi bila ya meno wameadapt mbwembwe za kinana meno wanaficha kama konokono....
 
Nawasikitikia wanaccm wanaoendelea kumuamini. Leo amekuja daraja la nadaare kata ya kisongo yani watu waliofika hawafiki hata ishiri waliojazana pale ni ule msafara wake basi. Hakuna kitu kila mtu yuko bize. Utadhani ni kikao cha dharura cha M/kiti wa kitongoji.

Hapakuwa na malori ya kubeba watu na kuwapeleka mahalinpa mkutano?
 
Kinana kubeba matofali,kusaidia kuezeka nyumba,kufyatua matofali,kufanya mashindano ya fisi,kukagua shamba la raia la karanga na kushika jembe la plau haijaondoa ukweli kuwa sera,itikadi na falsafa za ccm kwenye Elimu,kilimo,soko la bidhaa,Afya,Umeme,na maji vimefeli.hadanganyiki mtu hapa

Huyu jamaa Kinana kumbe naye ni msanii. Mbona kila mara anataka apigwe picha kama kweli ana nia njema? Publicity seeker.
 
Back
Top Bottom