Arusha Kila Baa ni Night Club

Arusha Kila Baa ni Night Club

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,629
Reaction score
1,951
Ni mji pekee baa na pubs hazifungwi kwa muda uliowekwa kisheria. Polisi wako bize na CDM tuuu na rushwa zinazowafanya wasahau kuwa sheria hii ina maana. Source Mfamaji.
 
wapi na wapi umetembelea wewe..........?
 
wapi na wapi umetembelea wewe..........?

Preta nimetembea kwingi. Najua club zote za usiku Ar. Sheria ndogo tu kama hizi zatushinda. Kubwa je?
 
Back
Top Bottom