Arusha Jiji zima Hakuna Kituo Cha TV ?

Arusha Jiji zima Hakuna Kituo Cha TV ?

Arusha inafanana na Singida kwa mbaliiiii inaikaribia Tanga haigusi kwa Mwanza wala Mbeya
 
Sioni juhudi za watawala kuifanya Arusha kuwa jiji la maana
sioni mipango ya kujenga/kutenga maeneo maalum yenye huduma zote za kiuchumi kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo
Sioni juhudi za kujenga stendi kubwa ya kisasa ya mabasi,yaani stand ya Arusha imezidiwa na ya Singida.
Mipango ya double road zisioni wala uondoshwaji wa migomba katikati ya mji.
Watawala wa Arusha lazima mfikirie kuipeleka jiji letu mbele liwe jiji shindani.
 
Mimi mzaliwa wa Mza, naishi Dar, wakati Mza inapandishwa hadhi kuwa jiji, barabara za lami zilikuwa zinahesabika, kulikuwa na vumbi la hatari, hakukuwa na maghorofa ya vioo, ilichukua karibu miaka 10 kwa Mza kuwa ktk hali ya sasa ambayo nikitembelea miji mingine hapa Tz nashangaa kuwa inapewa sifa kuuuubwa ambazo hata sizioni. Ipeni muda tu wataamka usingizini.
 
Vijana wengi wa arusha wana ndoto za kupata zari waende ulaya,arusha kwao ni sehemu tu ya muda makazi yao ya kudumu yako ulaya.

Stendi ya mabasi utafikiri ni stendi ya gongo la mboto,ndogo na imebanana na hakuna mkakati wa kuitoa pale.

Watu wamejenga hadi barabarani,migomba,kahawa hadi katkati ya jiji,zunguka soko kuu,kirombero kuchafu sana.

Aliyeipa hadi ya jiji arusha hakufikiri sawasawa.
 
Mimi mzaliwa wa Mza, naishi Dar, wakati Mza inapandishwa hadhi kuwa jiji, barabara za lami zilikuwa zinahesabika, kulikuwa na vumbi la hatari, hakukuwa na maghorofa ya vioo, ilichukua karibu miaka 10 kwa Mza kuwa ktk hali ya sasa ambayo nikitembelea miji mingine hapa Tz nashangaa kuwa inapewa sifa kuuuubwa ambazo hata sizioni. Ipeni muda tu wataamka usingizini.

Wewe umeongea fact ........
 
Nilipata taarifa tangu mwaka jana kuwa kuna TV station inaanzishwa inaitwa A2V hii nayo imeishia wapi?

Baadhi ya watu wangu wa karibu walisema wenye hiyo kampuni ilipanga kuwa TV iwe On Air November, 2014 sasa wenye mji hapo Arusha sijui hizi taarifa mlikuwa nazo au ilikuwa ni mbwembwe tu.
 
BIGURUBE TV is on the way kuanzishwa A-Town, stay tuned
 
Last edited by a moderator:
Vijana wa Arusha wanawaza kwenda Mererani tu. Unakuta kijana wa mererani hana hata mia, anawaza kupata milioni 200.
 
Hizi mada za kushindanisha mikoa hazijengi zaidi ya kubomoa tu umoja wetu wa kitaifa uliojengwa enzi na enzi na waasisi wa taifa...
 
Back
Top Bottom