Arusha Jiji zima Hakuna Kituo Cha TV ?

Arusha Jiji zima Hakuna Kituo Cha TV ?

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,933
Reaction score
34,912
Jiji gani kama Tu Musoma Municipal.If the govt could not have chosen it as an EAC HQ,sijui ingekuwaje tu ????
 
TV ya nini bana.......hizo zilizopo zinatutosha........
 
TV ndio umeona kipimo cha maendeleo? kweli kazi ipo, hapo kwenye tv nyingi mbona hakuna jipya la kuripoti, habari haina mvuto bila seke seke za Arusha wameishia kutonyesha tu ubingwa wao wa kutoa haja maana tunaonyeshwa vinyesi tu chemba zimezidiwa uwezo kutwa zinalipuka. Hongereni.
 
Mwanza baada ya kuzidiwa kwenye ile thread ndio mmeibukia huku?
 
Back
Top Bottom