Hivi una mdanganya nani? Hivi unafikiri watu hawajui au hawakuwai kufika Arusha?Katika pita pita zangu katika mikoa tofauti hapa nchini,nimeguandua kuwa Arusha Ni mji ambao hauna watoto WA mtaani kabisa, tofauti na jiji la Dar, Tanga, pamoja na mkoa WA Rukwa hususani Sumbawanga mjini, katika jiji la Arusha kuna watoto wapatao 8 (umri kama miaka 14 na kuendelea) ambao Ni wavuta gundi maarufu mjini hapa,pia Ni wavuta bangi na wala mirungi wazuri Tu, hao watoto wameshindikana hadi na polisi hivyo Ni saws ma kusema Arusha hakuna watoto WA Mtaani
Uhitaji kufika Arusha kujua kilicho andikwa ni uongo. Unacho hitaji ni kujua tabia za miji mikubwa Africa basi utajua huu ni uongo au lah...sijfika arusha, nikifika ntajionea mwenyewe. unataka kusemaje mkuu, hiyo ni kutokana na sera bora za lema?
Mimi sio Muarusha useme labda nasifia Arusha, huo Ni kweli mtupu vijana WA hapa wanapenda pesa mbaya, kama sio za kutafuta basi za kuiba lakini sio kukaa chini na kuanza kuomba omba au kuzurura hovyoHivi una mdanganya nani? Hivi unafikiri watu hawajui au hawakuwai kufika Arusha?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Labda uliwakuta wamekwenda lunch