Arusha jiji pekee lisilo na watoto wa mtaani

Arusha jiji pekee lisilo na watoto wa mtaani

Nenda pale stadium mlango wa kusini,inatizamana na saba general,pale wapo kama 10 kwakuanzia
 
Nenda pale stadium mlango wa kusini,inatizamana na saba general,pale wapo kama 10 kwakuanzia
Wale ndo wanaojulikana Arusha hapa, wale Ni wavuta gundi wazuri Tu, hela wanayopata Ni ya Kula Tu, ya kuvuta bangi haiwatoshi ndo mana wanavuta gundi mkuu
 
Acha uongo wapo tele nenda ugalimitedi kule migombani tele tena wengi wanaitwa nyoka .
 
Si kweli, Arusha watoto wa mitaani ni wengi Sana.Sijui anaizungumzia Arusha ipi. Pita mbele ya Suparmaker Iliyopo opposite Clock Tower,utawakuta wamelala hapo. Fanya utafiti
 
Acha uongo wapo tele nenda ugalimitedi kule migombani tele tena wengi wanaitwa nyoka .
Unaozungumzia wewe Ni wale vibaka na sio watoto WA mtaani,ungalitemited hakuna watoto WA mtaani
 
Si kweli, Arusha watoto wa mitaani ni wengi Sana.Sijui anaizungumzia Arusha ipi. Pita mbele ya Suparmaker Iliyopo opposite Clock Tower,utawakuta wamelala hapo. Fanya utafiti
No labda unazungumzia wamachinga na wale wabeba mizigo sokoo kuu
 
Arusha gani mkuu, kwa muda niliokaa arusha nimeshuhudia watoto Wa mtaani wengi sana hasa usiku katika eneo la stendi kuu, soko la kilombero na unga Ltd.
 
Katika pita pita zangu katika mikoa tofauti hapa nchini,nimeguandua kuwa Arusha Ni mji ambao hauna watoto WA mtaani kabisa, tofauti na jiji la Dar, Tanga, pamoja na mkoa WA Rukwa hususani Sumbawanga mjini, katika jiji la Arusha kuna watoto wapatao 8 (umri kama miaka 14 na kuendelea) ambao Ni wavuta gundi maarufu mjini hapa,pia Ni wavuta bangi na wala mirungi wazuri Tu, hao watoto wameshindikana hadi na polisi hivyo Ni saws ma kusema Arusha hakuna watoto WA Mtaani

Kina madee kila siku wanawaokota kina dogo janja huko mitaani haf we unakuja na habari gani sijui
 
Mtoa mada unaijua kweli? Arusha ebu pita mitaa ya stadium usiku ujionee mwenyewe
 
Wewe huijui A. town ila unapita njia tu, wale wanoshinda pale Sheikh Amri Abeid stadium ni wakina nani wale au hujui maana ya watoto wa mitaani .............wale wa kwenye traffic light nao ni wakina nani ???
 
Kwenye hii baridi watavumilia kweli wanapenda mahali penye joto
 
Wewe huijui A. town ila unapita njia tu, wale wanoshinda pale Sheikh Amri Abeid stadium ni wakina nani wale au hujui maana ya watoto wa mitaani .............wale wa kwenye traffic light nao ni wakina nani ???
Hamna traffic light zozote hapa utakazokuta watoto WA mtaani, wale wanaokaa pale studium usiku Ni wale wavuta gundi mkuu, zunguka mchana kama utaona kitu
 
Back
Top Bottom