Arusha jam jamani! Mpaka ya watu

Ronn M

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
1,279
Reaction score
684
Jam ya Arusha jama. Nimekuja kula Christmas bt jam jamani. Yaani mpaka jam ya watu. Preta, Arusha one gfsonwin mpo?
 
Last edited by a moderator:
hiyo tumeikimbia.....khaaaa....sijui nini kimetokea.....nipo mndeny saa hii.....
 
Kwa wasiopenda msongamano,
Tukutane Bagamoyo!

Hii ni baada ya mwalimu gfsonwin kutopokea simu yangu.
sijui alikuwa busy sana.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…