Arusha ipo busy na vikao vya harusi

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Huu tuite ni Msimu wa Ndoa siyo! Ingia sehemu zenye mikusanyiko ya watu, ni vikao vya harusi tu! Hapa nilipo naona kuna vikao sita! Na vyoote ni vya harusi.
Hongereni mnaooa na kuolewa, mnakuza uchumi wa Taifa letu.
 
labda ni sehemu gani wewe umekaa?
 
Huu tuite ni Msimu wa Ndoa siyo! Ingia sehemu zenye mikusanyiko ya watu, ni vikao vya harusi tu! Hapa nilipo naona kuna vikao sita! Na vyoote ni vya harusi.
Hongereni mnaooa na kuolewa, mnakuza uchumi wa Taifa letu.

Tuwache tuwolewe........
 
Niwapi huko kuna vikao sita unavipiga chabo?ni ------ bar,ni city park,millestone,cet garden,nh pub,twiter pub,pin point au ni wapi?maana msimu bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…