Arusha I salute you!

tena ubadili na oil ya kiuno manake arusha mabinti hawataki kurambaramba hehehe.
stout tena? ile landrover D5 yako iliyopitwa na wakati umepeleka wapi? ukija arusha usinisake tafadhali.

cc Arushaone
 
Last edited by a moderator:
tena ubadili na oil ya kiuno manake arusha mabinti hawataki kurambaramba hehehe.
stout tena? ile landrover D5 yako iliyopitwa na wakati umepeleka wapi? ukija arusha usinisake tafadhali.

cc Arushaone

Huyu Babu Asprin inabidi tumuandalie 10 some ili awe na adabu na wadadaz wa chugga!!!!!!:yield::juggle::loco:
 
Last edited by a moderator:

ukimaliza angalia GDP
 
Aisee mkuu umenikumbusha nyumbani. Ngoja niende jpili pale cet garden home
 
Huyu Babu Asprin inabidi tumuandalie 10 some ili awe na adabu na wadadaz wa chugga!!!!!!:yield::juggle::loco:

Aisee mangi, sema hakyamungu.... nifanye mchakato wa likizo badala ya kuisubiria Desemba?
 
Last edited by a moderator:
tena ubadili na oil ya kiuno manake arusha mabinti hawataki kurambaramba hehehe.
stout tena? ile landrover D5 yako iliyopitwa na wakati umepeleka wapi? ukija arusha usinisake tafadhali.

cc Arushaone

Unazeeka vibaya. Ile ilikuwa almaarufu 109 MTUU lol. Hivi unajua asilimia kubwa ya nditoz za Arusha zinatokea pande ya Moshi? Na si ndo hao wanaosifika kwa kusoma magazeti wakati wa tendo la uumbaji?
 
Last edited by a moderator:
Kasoro moja kubwa unakutana na mdada mzuri akicheka meno yanakutu ha ha ha ha ha ha.
 
Sikatai na sikubali pia; nataka kuchukua position ya katikati ya ukuta!! Watu wote - si vijana peke yao - hujituma sana, ni kweli; lakini shughuli nyinghi ni za ki-DALALI TU, si uzalishaji halisi. Mfano, bei ya nyama ya ng'ombe hapo A-Town ni juu zaidi ya ile ya Dar, na quality yake ni ya chini - yaani ngumu kweli katika ulaji wake: bei inapandishwa na udalali uliokithiri - bidhaa inapita mikononi mwa watu wengi mno. Ni hivyohivyo hata katika tiketi za mabasi, nk.
 
ukimaliza angalia GDP

...............The report which indicates economic strength of administrative regions in Tanzania mainland for 2012 shows Arusha is the 7th richest region in Tanzania with a gross domestic product (GDP) of Sh2.1 trillion ($1.3 billion), followed by Tanga (Sh2.09 trillion) and Kilimanjaro (Sh2.03 trillion)..............

source: The Citizen.co.tz
 
wanaleta usharobaro na usafi,

waulize kina joh makini wanafwata nini dar,

mizigo inapitia wapi?

dar hakuna kuremba, pesa kwenda mbele.

halafu sisi hatuui mabilionea wetu
 
Arusha is very nice place to live kuna hali ya hewa nzuri na mahotel mazuri sana yanaibuka kwa ss
 
Karibu sana arrrachuga arifu karibu chali anguu tembelea basi na hzi pande za bongonyoo huku unagalelo upate vitu vyetu vile vya :hat::hat::hat: yaani hapo unakuwa uko ful yaani ni ooiooiooi dah halafu tupiti zetu pale kita cha cheka ung'atwe tuka gambling kwenye pooltable and moromboo kuchoma nyama na bia taratibu kabisa huku tuki tizama mandhari ya mlima meru kwa mbalii kidogo. You are welcome AR.:bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange::bange:
 
Eti kusoma gazeti, hehehe kalaghabaho!
Dereva mbaya analaumu gari, endesha babaa kanyagia gia achana na klachi ohoo! hujaskia yule mwanamke mpemba alienda bara, aliporudi akamuambia mmewe 'weeh unabofya bofya tu hapo. bara yaliwa hiyo' hehehe. hizo ndito zinazosoma magazeti zikipata mpiga mziki mzuri watacheza ndembe ndembe ubaki unashangaa.
:tape::tape::tape::tape:
Unazeeka vibaya. Ile ilikuwa almaarufu 109 MTUU lol. Hivi unajua asilimia kubwa ya nditoz za Arusha zinatokea pande ya Moshi? Na si ndo hao wanaosifika kwa kusoma magazeti wakati wa tendo la uumbaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…