Arusha: Hongera Monaban (Mollel), CCM umeibeba vya kutosha

Arusha: Hongera Monaban (Mollel), CCM umeibeba vya kutosha

Huu ni ushahidi tosha kwamba Rais wa Taifa hili kamwe hatatoka huko "kaskazini". Si kwa kizazi hiki tu bali na vizazi vyako vyote vijavyo. Tulia utawaliwe, huna budi mpuuzi mkubwa wewe na vijidharau vyako visivyo na tija.

Sawa Tonya
Umesomeka
 
Walioshinda wamepewa majukumu .


Wasipotimiza kisawasawa watahukumiwa
 
Sasa mnaochangia bado hamjui kura za huyo muuza sembe Monaban zimetoka wapi.
Kwa faida ya wengine naomba kuwaelimisha, Ccm siku zote ikishaona maji ni marefu hutumia siasa chafu za udini , ukabila nk.
Sasa baada ya huyu bwana kuona hatopata kura alikuwa anapita nyumba za kabila lake kuomba kura za kikabila kama anatafuta ukuu wa tambiko, pia ametumia hila nyingi za hukusanya kina mama kuwapa hongo na kuawadanganya kwamba akipata ubunge angrwakopesha kila kikundi 10m warudishe 30,000/ kila mwezi.
Hizo ndizo siasa za Ccm iliyokufa Arusha. Monaban siyo issue mjini A town
 
Ni ngumu sana ku deal na watu walioamua kuchagua viongozi/chama based on ethnic groups. Watakapoelimika watafanya maamuzi sahihi

Kama walivyofanya wasukuma na mr alcohol wao. Ni aibu sana kwa wasukuma kuchagua ccm kwa sababu magufuli ni msukuma mwenzao.
 
Tumekula Kuku, Bia na Nyama nyingi sana za MONABANI Pale Hill Top Hotel Arusha lakini tukaja kumpa kitu roho yetu inapenda na hii ndio Arusha!
 
Ukipita manyara usisahau wilaya ya kiteto na viunga vyake uone jinsi ccm ilivyoshaini na usiache kutuandikia hili. Kiteto yote ni ccm ubunge na madiwani wake.
 
Hata Wassira naye anakata rufaa, na sababu kubwa ni kuwa mila za mkoa wa Mara zimekiukwa kwa kuruhusu Mwanamke kumgaragaza mwanamume. Tena mwanamume mwenyewe bonge la baba kama alivyo Steven.
Sijui sababu hizo zina sound kisheria? Mie sijui.

Halafu bonge la Handsome... nasikia hii ya uhandsome kaiweka sababu ya pili kubwa....
 
Huu ni ushahidi tosha kwamba Rais wa Taifa hili kamwe hatatoka huko "kaskazini". Si kwa kizazi hiki tu bali na vizazi vyako vyote vijavyo. Tulia utawaliwe, huna budi mpuuzi mkubwa wewe na vijidharau vyako visivyo na tija.

We Mstonya endeleeni kumchagua Lusinde ndiye aliye wazidi nyie wote kielimu
 
Lema ameshindwa hata kutatua kero ya umeme kama mbunge, tusuburie maandamano maana hayo anayaweza.
 
Monaban anakata rufaa kama hujui
unzaifahamu grounds alizoraise??? mja wapo ni kuwa kwanini hakukuwa na kura iliyoharibika,
Hi hiii nilicheka sana alivyosema hivyo, sasa kama watu hawajakosea
 
Back
Top Bottom