kuna wakulima wanapiga hela kwa kilimo cha mboga unazo dharau Millions of Money na kwa mboga hizo hizo makampuni ya Kenya yana mashamba Tengeru na yanavuna na kusafirisha nje, Nilichogundua hapo Airport umefika leo na njiani ukaanza piga picha kama hizo, Tembea ndugu uone mengi sio kujifungia huko Nshupu.Aisee wewe ndio tatizo kwanza umesoma economy?
Nyanya hoho spinach Chinese carrot pilipili giligilan mchicha kidogo na tango vinaeza vikajenga mikoa kama arusha??
Huko vijijini kungekua New York
Go back to school buda
Sent using Jamii Forums mobile app
Tan flowers, world veggies, rizon, hizo companies sio za Kenya kama zinasafirishia JKIA haifanyi kuwa mali ya Kenya, labda angalau ungesema kilimo ungesound at least professional sio eti arusha inaendeshwa na tengeru, kilombero, soko kuu, morombo, kijenge [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakuna mahali hakuna masoko sasa mbona pasifanane,?kuna wakulima wanapiga hela kwa kilimo cha mboga unazo dharau Millions of Money na kwa mboga hizo hizo makampuni ya Kenya yana mashamba Tengeru na yanavuna na kusafirisha nje, Nilichogundua hapo Airport umefika leo na njiani ukaanza piga picha kama hizo, Tembea ndugu uone mengi sio kujifungia huko Nshupu.
Is this Arusha or Paris?
First caption is Lake DulutiIs this Arusha or Paris?
Damn...!
Usibishane na mtu asiyeijua Arusha wakati huo Metropole ni metropole kweli.We arusha ulikuja juzi nini?
Unaongelea mawe hajachangia ukuaji wa Chugga?
We utakua umekuja arusha enzi ya tanzaniteone aisee embu usaidiwe kuoneshwa hizo magorofa karibia yote hapo town ni mawe imelala hapo chalii enzi hizo hakunaga mkoa wa manyara mbuguni ilikua ni arusha xlr na ndula moja refu tayari upo chumbani unatusua ulanga
Sent using Jamii Forums mobile app
kwenye namba tisa hapo..katika kuchangia pato la taifa umedanganya mzee.....mkoa unaofuatia kwa kuchangia pato la Taifa ni Mwanza then Mbeya na mingine ila Arusha kwenye top 5 haipo..ila top 10 ipo....Rejea ripot ya banki kuu mwaka 2015 kuonesha mikoa inayochangia zaidi pato la Taifa
Nikuulize kidogo,Nikusahihishe kidogo kipengele cha 5,
Hifadhi ya Serengeti iko Mkoani Mara. Pia Kuhusu Arusha 85% ya kina Mama ndio wajasiliamali, wafanyabiashara wanaoleta kipato kwa familia, kina Baba ni kulewa na Starehe.
Ukianza na masoko kama Soko kuu, kilombero, samunge, Kijenge na Masoko kama Tengeru, Maji ya chai Usa river na hata wachoma mahindi na wauza mbogamboga, wauza mitumba ni kina Mama walio wengi. Kina Mama hawa ni mfano wa kuigwa katika ustawi wa Familia pamoja na Nchi kwa ujumla.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] arif umenikumbusha longi kinyama [emoji23] [emoji23] ile pick up double kibin imeandikwa Cinema Leo ilikua patashika wakija skonga kivumbi cha kufa people [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usibishane na mtu asiyeijua Arusha wakati huo Metropole ni metropole kweli.
Machalii wakitoka kipaimara pale St. Theresa na KKKT mjini kati wanazama metro.
Wakati Mererani ni mererani Kweli.
Just ask them, wakati wa mwaka 1957 Arusha ikiwa hivyo na hizo restaurant za kisasa...huko kwao nalinjilinji kulikuaje?
Wakati NEW ARUSHA HOTEL ya mwaka 1894 ikikimbiza E.A countries hadi leo hii huko kwao kulikuwa hata na Pub kweli.
Wakati tukiwa tunaangalia Sinema Leo tena kwa kuletewa programs shuleni...nina uhakika kuna mikoa hata TV walikuwa hawaijui completely.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu tuacheni Utani Wakuu.
Sisi tumeanza panda zile lift za AICC tukiwa Primary tena wadogo miaka ya 90 mwanzoni.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] arif umenikumbusha longi kinyama [emoji23] [emoji23] ile pick up double kibin imeandikwa Cinema Leo ilikua patashika wakija skonga kivumbi cha kufa people [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dah enzi za hotel equator, sabasaba, New Arusha AICC kwenye bembea tunaingia kama kwenye vibanda umiza yan aisee life la kipindi ile lilikua tamu ballaa [emoji23] [emoji603] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji817]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimekaa mikoani, mzungu akipita kwanzia mzee mpaka nyokaa wanasimamisha shughuli zote wakati Chugga skonga ilikua kila week watasha wanakuja class zinashushwa mazawadi ya kufa mtu mavitu ya kiulayaulaya [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sisi tumeanza panda zile lift za AICC tukiwa Primary tena wadogo miaka ya 90 mwanzoni.
Sasa Maajabu eti nikaja kusikia mwaka 2015 Ghorofa ya kwanza yenye lift yajengwa mkoani Mbeya.
Nilishangaa sana
Wabillah Tawfiq,
Hahahaha hakawii kukuambia siyo arusha mr. Mufindi
Hahahahaha nimechekaaaa kweli umenikumbusha lift ya kwanza mby. Kimsingi wengi huku wanabisha tu lakini mioyoni mwao wanaujua ukweli.Sisi tumeanza panda zile lift za AICC tukiwa Primary tena wadogo miaka ya 90 mwanzoni.
Sasa Maajabu eti nikaja kusikia mwaka 2015 Ghorofa ya kwanza yenye lift yajengwa mkoani Mbeya.
Nilishangaa sana
Wabillah Tawfiq,
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha hakawii kukuambia siyo arusha mr. Mufindi
Punguzaa babaaa utawauwaaa [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tatizo ni kwamba huko kwenu wanawake kazi yao ni umbea na kupaka ina sasa mnavyokuja arusha mnaona wanawake wanapiga kazi mnashangaa kumbe huku ni jambo la kawaida.Umesaahau kutaja Arushaa ndoo walikuwa mabingwa wa kunywa viroba na sasa hiv vimepigwa marufuku. Vijana Afya Imerud ARUSHA ndo mji wanawake wanafanya kazi kuliko wanaume. Alafu cha kushangaza Mwanaume akishaona ameoa Mwamamke jembe yeye huwaga anabweteka kazi yake no kushinda vilabuni tuu mwanamkee alete helaaa. Arushaa ni mara Chache utasikia mtu katembea na Mke wa mtu labda wale wajamaa wa Mawee.
Mchome bana...!! Sisi tunataka picha za Arusha..acha kuchukua picha za Ulaya huko google na kutuletea hapa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mchome hii sio Arusha unatupakazia bro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mchome bana...!! Sisi tunataka picha za Arusha..acha kuchukua picha za Ulaya huko google na kutuletea hapa...