Arusha halisi ilivyo na watu wake

My Home City Arusha.. Namiss sana ni mwaka sasa sijatimba izo fasi kutokana na mbishe za life.

Nimemiss sana bakta fasi za back town mbishe za udalali sokoni kilosa, fasi za krokon, kudaka shamba kwa sheikh ngarenaro au kwa mama jack, kwa oyoo fasi ya majengo.. Dah nna arosto ya shamba wazee nianzisheni..

Chalii wa Mbaudani, mitaa ya Kirika A, Country Coffer na Zurich mitaa ya skani..
 
Tatizo unajibu hoja kwa jazba ndiyo maana unapotea na kushindwa kufikia kile unachotaka kueleza hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…