Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Hamna lolote ninyi, mda mwingine watu wanaogopa hadi kuja arusha wanafikiri ni misukule inatembea mjini kwa jinsi mlivyooza meno.
Badilikeni ninyi washamba huo ukanda na ukabila utakuja kuwamaliza na ndio mana hamuachi tembea na masime viunoni
We msukule ulieoza meno kama mnakula mavi huko kijijini arusha umepotea njia kuja kwangu,Mtaendelea na chukii zenu..hazisaidiii Arusha na Eneo Zima hawategemei huruma .....
Cna link ila nakumbuka moja ya tukio la mwanafunz wa uhasibu kuchomwa kisu,pia kuna muuza duka mwenye asili ya arusha alimchoma kisu mtu kisa mia mbili In general siichukii arusha ila sipend baadhi ya tabia za watu wa arusha kams rojo za kikatiliNani kachomwa kisu na kuchinjwa kwa kipindi hicho naomba link ya habari.
Matukio makubwa kama hayo lazima yaripotiwe.
Umeshindwa kudhibitisha bado unaogea urojo! Wee endelea kuishi dar kwa kimama mama!Cna link ila nakumbuka moja ya tukio la mwanafunz wa uhasibu kuchomwa kisu,pia kuna muuza duka mwenye asili ya arusha alimchoma kisu mtu kisa mia mbili In general siichukii arusha ila sipend baadhi ya tabia za watu wa arusha kams rojo za kikatili
Kama wana copyright na hiyo picture huoni wamaficha nembo wakenya ni wezi kila idara.Nakubali mademu wa Arusha ni wakali, lakini hiyo picha nimeiona katika post ya wakenya mkuu,ingawa wakenya wanaweza kuwa wanatumia picha za warembo bongo kwani madada zao ni wabaya mno
Contrary to the What Many Believe, Kikuyus Have The Hottest Women In Kenya (PHOTO) - The Daily Post
Onyo+ Angalizo: Dar ndio kila kitu,mkiiponda tu natoka msituni
Hata kama yangekua ya kweli ungeweza kuyafananisha na ya mapanga kule Mwanza na Tanga na Mara though najua huo ni uongo mtupu.Cna link ila nakumbuka moja ya tukio la mwanafunz wa uhasibu kuchomwa kisu,pia kuna muuza duka mwenye asili ya arusha alimchoma kisu mtu kisa mia mbili In general siichukii arusha ila sipend baadhi ya tabia za watu wa arusha kams rojo za kikatili
Mbona ujenzi unaendelea kwa kasi ya umeme na ninadhani viwanja vimeisha if am not mistaken.
Dogo Mji wa Arusha kutawaliwa na Wazungu kila kona na hata mitaa ndio sifa
nina wasiwasi ww kama sio mmasai basi ni Mmeru ACHA KUSIFIA UGENI NA UCHALII
- Mlima kilimanjaro haupo Arusha
- Seregeti haipo Arusha
- kile kimji cha Safari City cha NHC ni ndoto Mchechu ambazo William Lukuvi kazifutilia mbali kwani ni ulaji tu wa watu sawasawa na kigamboni City
- Na kwa taarifa yako hilo eneo limenunuliwa kwa fedha fake na swala lipo mezani
Ile sio hotel ni guest house, sasa Magu kabana watu hawapeleki tena michepuko.Ni ngumu watu kukaa bila kuiongelea Arusha mtani..
Mkuu nasikia Dar mnageuza Hotel kuwa Hostel..
We msukule ulieoza meno kama mnakula mavi huko kijijini arusha umepotea njia kuja kwangu,
Wenzako pumzi zilishakata kwa kuendelea kuni quote na vihoja vyao vya kitoto vya kusifia hivyo vi guest house huko kijijini arusha.
Ubaguzi utawamaliza ninyi washamba wa kijijini arusha.
Kama nakuona jinsi ulivyo changanyikiwa na povu linavyokutoka mdomoni, umevimbiwa ma mirungi na banana za mia mbili huko kijijini arusha.Huyo Mbaguzi ni huyo baba Yako toka Rwanda .....
Ubaguzi wa nini ...ubaguzi haulipi ....HATE US ...!!!!
Kwamsaidie kwanza mama Yako anayelala KWENYE nyasi..Ndio uje hapa shwain
Kama nakuona jinsi ulivyo changanyikiwa na povu linavyokutoka mdomoni, umevimbiwa ma mirungi na banana za mia mbili huko kijijini arusha.
ninyi huku kijijini arusha nikiwaita misukule ni haki yenu.
Kila siku mnataka kuongelea ujinga wenu toka huko kijijini arusha, au mnataka kutambika?
Una mtindio wa ubongo hauwezi kunielewa kamwe na akili zako fupi we msukule wa kijijini arusha.MNAPOTEZA MUDA ....KUPAMBANA VITA NA WATU AMBAO HAWAJASABABISHA MATATIZO YAKO ....
WAO WANAENDELEA NA YAO ..WEWE NA WENYE AKILI HIZO PIGENI KELELE ..
WAFUKUZENI TU WOTE ......
WATAPAMBANA HAWATASHINDA
hahahaahaha ila hapo kwenye Hostel naona atapiga pesa sana...Ile sio hotel ni guest house, sasa Magu kabana watu hawapeleki tena michepuko.
Mkuu kuna uzi nilikuita wa mwana daslamu kuwatukana watu wa Mwanza na Geita ila sikukuona..Una mtindio wa ubongo hauwezi kunielewa kamwe na akili zako fupi we msukule wa kijijini arusha.
Hizi ishu nilishamalizana nazo fisadi kuu ila bado kuna washamba wanaendelea kuni quote na kuniletea maneno ya shombo.Mkuu kuna uzi nilikuita wa mwana daslamu kuwatukana watu wa Mwanza na Geita ila sikukuona..
Ni kweli Lakini mkuu haitakuwa vibaya kama ukienda na kule ukawapa nao ukweli wao..Hizi ishu nilishamalizana nazo fisadi kuu ila bado kuna washamba wanaendelea kuni quote na kuniletea maneno ya shombo.
So ili nielewane nao inabidi niende nao sambamba.
Sijauona uo uzi mdau, unaitwaje?Ni kweli Lakini mkuu haitakuwa vibaya kama ukienda na kule ukawapa nao ukweli wao..
Kuna uzi unasema dar ndio Tanzania kwingine kote kijijini nadhan ndio huo...!Sijauona uo uzi mdau, unaitwaje?
Nitakutag sasahivi uuoneSijauona uo uzi mdau, unaitwaje?