gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,585
Una uhakika. Walahi! nyingine mbwembwe majina sio ishu!Wee ni muongo sana ,unasifia kwenu mpaka unapitiliza na vya wenzenu unafanya vya kwenu hapo namba 4 umeitaja mbuga ya serengeti kwamba ipo Arusha ni uongo, Serengeti haipo Arusha, Serengeti ipo mkoa wa Mara,sema tu watalii wengi hupenda kuanzia safari ya kwenda huko kwa kutokea Arusha.
Mmhhhhh!Arusha ndo sehemu pekee alipotokea nabii fake hadi mh Mkuu wa kaya alienda kunywa kikombe cha babu
hahahahaha mkuu hivo vitu Ileje na Rungwe havipo.. Lazima watu povu liwatoke...
Mwambie aweke Dodoma, Mbeya au Mwanza kama kuna nyumba kama hizo hahahahahahahahaaa
Killi Golf Estate mikandamizo inaendelea...
Sakina kwa Mafogo
Its not about fancy, its about nature...
Hhahahaa aise hao watu ndio wamenipandisha morii eti kuna mmoja amesema tena kwa ukakamavu Iringa na Mbeya inaichapa raba Chugga kidogo nilazwe...
Vijana wa chuga city a. k. a chura city.Road to Heaven...
Mwambie amuulize MKAPA! kwa nini alihamisha simanijiro akapeleka Manyara wakati ipo karibu na moshono!hekaheka!Hatutaki ligi soma uelewe...amesema zipo ndani ama karibu na mji wa arusha sasa Serengeti inaangukia upande wa karibu na mji wa arusha
Dah! A Town napapenda sana,nikiona hivi nataka hata kulia kwa huzuni ya kutengana napo na nina kumbuka mengi sana ya kitambo,God bless A City.Road to Heaven...
hehehehehehehe Ileje wanakokaa kwenye nyumba za tembe?? Hahahahahahaaa
Unajifanya unanijua sana mimi ni mtanzania, sio kama wewe msukule.It's all about awareness.. Usafi wa akili na mazingira.. Vipi huko kwenu Mafinga hahahahahahahaha, huko ni Mitindo huru tu sio
Usitukane!Vijana wa chuga city a. k. a chura city.
Mna kazi huko kijijini arusha.
Muache na kukeketana huko maporini arusha.
Chuga city a. k. a chura city.Usitukane!
Kweli!Sikatai kuna uzi TRA!Sio kunywa pombe au kutaja lower manhattttan!kwenye namba tisa hapo..katika kuchangia pato la taifa umedanganya mzee.....mkoa unaofuatia kwa kuchangia pato la Taifa ni Mwanza then Mbeya na mingine ila Arusha kwenye top 5 haipo..ila top 10 ipo....Rejea ripot ya banki kuu mwaka 2015 kuonesha mikoa inayochangia zaidi pato la Taifa
Amen Mkuu.. It is already blessed..Dah! A Town napapenda sana,nikiona hivi nataka hata kulia kwa huzuni ya kutengana napo na nina kumbuka mengi sana ya kitambo,God bless A City.
Hahahahaha mwache huyo mwenu aendelee kufukuza upepo...Usitukane!
Nini sasa!Chuga city a. k. a chura city.
Noma sana
Mi wala sina shida nae!Hahahahaha mwache huyo mwenu aendelee kufukuza upepo...
Huko aliko unaweza kukuta shuka limejaa jasho kwa hasira hahahahahaha..Mi wala sina shida nae!
Nishapita mara kadhaa, sema sasa hivi sio kuishi kama nilivyokua naishi miaka ile, kwa sasa tangu 2014 sijakanyaga nasikia kuna highway inajengwa kuanzia Sakina hadi Tengeru.Amen Mkuu.. It is already blessed..
Karibu tena, ukipita kalikizo usisite kuja kubadilisha hali ya hewa huku.. Kama ulitoka hapa 2008 sasahivi utakuta ni vingi sana vimebadilika..
Vipi ileje kuna shule kama hizi?? Wawekee na ISM, St. Co na BraeburnBado tunaendelea na hii shule haadhimu
Naam,ya kwangu ni Braeburn Kisongo nilikua naipenda sana ile shule kwani nilishafanyaga nao kazi ya kusupply vitabu pale kwa Bernard,ooh! wakati umeenda sana .Vipi ileje kuna shule kama hizi?? Wawekee na ISM, St. Co na Braeburn