We vipi? Mapenzi yanaanzia nyumbani then huko uendako, jivunie home sio ugenini, ugenini tengeneza heshima MTU Wangu. Hata Mgosi ukimuuliza kwao wapi atakuambia TA
City ipi tujenge mkuuu. Karibu mbugan tarangire or ngorongoro .ule kuku
Life ni vile utavyoishi,kama utaendekeza mambo ya kipuuzi ndio utakayoyaona lakini kama utafanya shughuli zako mambo kawaida tu,ubaya hauna kwao wala hauna mwenyewe,kusema kwamba watu wa eneo fulani ni wabaya inategemea umeishi nao vipi,kwa kweli mimi siwezi kuwasema vibaya watu wa Arusha,kwanza kuna makabila mengi tu japo wachaga wanaweza kuwa wanaongoza lakini kwa miaka saba mimi nimeishi nao poa kabisa .
We ni chaakula kweli
zinapangishwa hizo Arusha, una hela??
Misumari tu hapa hadi mtanyooka nyie misukule ya arusha,Hujui unachokiponda wewe, ukimuuliza anaefagia ikulu anafanya KAZI wapi? Jibu jepesi ni ikulu, huko note ni R one, mtindio huru jiongeze
Mkuu umetoka Arusha lini usijue hii Mall... Tena karibia inafunguliwa mbona.. Ipo pale after Cultural Heritage kama unaenda Airport ya Arusha... Mall nyingine kubwa inajengwa pale Kaloleni na AICC kwa kushirikiana na LAPF..Eh! vijana wa chuga siwawezi mpaka saa hizi bado mnaendeleza libeneke? nyie kiboko hiyo mall ya AIM STEEL iko wapi hapo Arusha?by the way mimi nimeishi sana Arusha ingawa ni mtu wa pwani na bado napapenda kwani nahisi kama vile kuna sehemu kubwa ya maisha yangu yapo kule ninapoona mambom yanayoendelea huko najifeel raha na kukumbukia wakati nikiishi huko i real love Arushaits my second town.
Mkuu achana na ya Dar na mikoa mingine... Siye hapa tuongelee yetu tu...Hahahaaaa yan Dar mnaringia mwendo kasi na daraja la kigambon zaid ya hapo hakuna jipya.
Juz nlikuwa Dar yan hewa nzito kariakoooo., chakula shidah, population ndo usiseme , sijui uko fery ukipanda hiyo bot mnabanana yan shida tupu. Ukikod tax unaonekana jambazi. Mh. Ndo Mara yangu ya kwanza kupanda bajaji. Nusu nizimie. Yan Dar mh
Mmeshachanganyikiwa ninyi misukule wa chuga city a. k. a chura city.Mansion ipo USA River kuna wale wanasema Chugga ni poor waje kupanda dau...
Arusha is dopee, hvi vitu ni US tu huko California na Los Angels tu.
Nimeondoka 2008 ila hiyo ya habari ya LAPF nilipita wakati fulani nikaona nyumba za pale soweto zinazotazamana na florida2000 zimebomolewa ndio wakasema watajenga Mall na apartment hapo,Ar itakua imebadilika sana.Mkuu umetoka Arusha lini usijue hii Mall... Tena karibia inafunguliwa mbona.. Ipo pale after Cultural Heritage kama unaenda Airport ya Arusha... Mall nyingine kubwa inajengwa pale Kaloleni na AICC kwa kushirikiana na LAPF..
Hadi mnatia huruma huko kijijini mtachambua mafaili ya vinyumba vyote.Ola City rent for $1.500, wapi kama si Chugga...
Kili Golf Estate $895
USA River
Kili Golf Estate
And yet, big changes to come... Ar ya 2020 ambako project nyingi zinazoendelea hapa zitakuwa zimekamilika itakuwa ni mji wa kipekee sana hapa Tz... Yaani kama tu ilivyo US, New York ni mji muhimu, wenye wafanya biashara wakubwa na Jiji tegemezi kwao lakini San Fransisco ni mji ghali zaidi US and the most beautiful city in US..Nimeondoka 2008 ila hiyo ya habari ya LAPF nilipita wakati fulani nikaona nyumba za pale soweto zinazotazamana na florida2000 zimebomolewa ndio wakasema watajenga Mall na apartment hapo,Ar itakua imebadilika sana.
hahahahaha mkuu hivo vitu Ileje na Rungwe havipo.. Lazima watu povu liwatoke...Ola City rent for $1.500, wapi kama si Chugga...
Kili Golf Estate $895
USA River
Kili Golf Estate
Mwambie aweke Dodoma, Mbeya au Mwanza kama kuna nyumba kama hizo hahahahahahahahaaaOla City rent for $1.500, wapi kama si Chugga...
Kili Golf Estate $895
USA River
Kili Golf Estate
hehehehehehehe Ileje wanakokaa kwenye nyumba za tembe?? HahahahahahaaaHhahahaa aise hao watu ndio wamenipandisha morii eti kuna mmoja amesema tena kwa ukakamavu Iringa na Mbeya inaichapa raba Chugga kidogo nilazwe...