Arusha halisi ilivyo na watu wake

We msukule wa arusha umeshapona na mimeno yenu iliyooza.
Tulieni dawa iwaingie nyie misukule ya arusha mnaoshindia banana na mirungi hapo kijijini arusha
 
Njeree imeshikilia billioni mkononi wakati Mitindo huru amejibanza Ileje na jembe pembeni asubuhi awahi kupalilia mahindi hehehehehe

Ninyi ni watumwa tu huko arusha, mifupa imemtoka kama ana ngoma.
Macho bangi tupu.
Poleni sana ninyi misukule ya huko kijijini arusha.
Mnatakiwa mjikomboe sasa
 
We msukule wa arusha umeshapona na mimeno yenu iliyooza.
Tulieni dawa iwaingie nyie misukule ya arusha mnaoshindia banana na mirungi hapo kijijini arusha

Una jazba. Kwani ukijituma ita kugharimu kitu gani.... Meno meno.... Mengine uyaoni... Kweli ushamba mzigo... Haya kaanzishe mada ya runazi basi... Nyumbani nyumbani.... Aibu ya nini!
 
Eh! vijana wa chuga siwawezi mpaka saa hizi bado mnaendeleza libeneke? nyie kiboko hiyo mall ya AIM STEEL iko wapi hapo Arusha?by the way mimi nimeishi sana Arusha ingawa ni mtu wa pwani na bado napapenda kwani nahisi kama vile kuna sehemu kubwa ya maisha yangu yapo kule ninapoona mambom yanayoendelea huko najifeel raha na kukumbukia wakati nikiishi huko i real love Arushaits my second town.
 
Mkuu muelimishe mitindo huru wewe ni mtu wa pwani umekuja arusha umeishi na umepapenda hakuna aliyekubagua sasa yeye anasema huku kuna ubaguzi sijui alibaguliwa kivipi...by the way aim mall ipo maeneo ya majengo...!
 
Mshamba wewe.... Na meno yako meupe kwenu wapi? Kitulize basi utueleze mazuri ya kwenu

Hongeza mapacha Arusha juu.

Ndo ujione una mihemko sasa.... Unakemea nini na unapost nini? Kweli kushindana na kichaa kumbe kazi hivi

Una jazba. Kwani ukijituma ita kugharimu kitu gani.... Meno meno.... Mengine uyaoni... Kweli ushamba mzigo... Haya kaanzishe mada ya runazi basi... Nyumbani nyumbani.... Aibu ya nini!

Mkuu muelimishe mitindo huru wewe ni mtu wa pwani umekuja arusha umeishi na umepapenda hakuna aliyekubagua sasa yeye anasema huku kuna ubaguzi sijui alibaguliwa kivipi...by the way aim mall ipo maeneo ya majengo...!
Mtaacha tu huo utumwa wenu wa mawazo huko kijijini arusha.
Karibuni the true and rea city in Tanzania tujenge nchi,
Mnashinda huko porini arusha kama misukule na mlivyooza meno ukijumlisha mna vyokula mirungi kama mbuzi anatafuna nyasi ndio basi tena.
Huko arusha ni porini wadanganyeni wajinga wenzenu huko mbugani arusha
 
Welcome to the silent city and biggest city in Tanzania say Dar es salaam

Hahahaaaa yan Dar mnaringia mwendo kasi na daraja la kigambon zaid ya hapo hakuna jipya.
Juz nlikuwa Dar yan hewa nzito kariakoooo., chakula shidah, population ndo usiseme , sijui uko fery ukipanda hiyo bot mnabanana yan shida tupu. Ukikod tax unaonekana jambazi. Mh. Ndo Mara yangu ya kwanza kupanda bajaji. Nusu nizimie. Yan Dar mh
 
Dar es salaam.
Welcome friends from arusha village
 

Attachments

  • 1467323677577.jpg
    171.6 KB · Views: 75
  • 1467323684293.jpg
    43.2 KB · Views: 82
  • 1467323688492.jpg
    13.5 KB · Views: 73
  • 1467323692516.jpg
    19.8 KB · Views: 77
  • 1467323696114.jpg
    38.5 KB · Views: 82
Nawaomba jamani, tuungane kui promote TANZANIA.. sio mikoa mi ni mzaliwa wa arusha but i really hate ushindani wa namna hii, huko nje tunahukumiwa kama wa TZ sio wa arusha!
We vipi? Mapenzi yanaanzia nyumbani then huko uendako, jivunie home sio ugenini, ugenini tengeneza heshima MTU Wangu. Hata Mgosi ukimuuliza kwao wapi atakuambia TA
 

City ipi tujenge mkuuu. Karibu mbugan tarangire or ngorongoro .ule kuku
 
Mkuu muelimishe mitindo huru wewe ni mtu wa pwani umekuja arusha umeishi na umepapenda hakuna aliyekubagua sasa yeye anasema huku kuna ubaguzi sijui alibaguliwa kivipi...by the way aim mall ipo maeneo ya majengo...!
Life ni vile utavyoishi,kama utaendekeza mambo ya kipuuzi ndio utakayoyaona lakini kama utafanya shughuli zako mambo kawaida tu,ubaya hauna kwao wala hauna mwenyewe,kusema kwamba watu wa eneo fulani ni wabaya inategemea umeishi nao vipi,kwa kweli mimi siwezi kuwasema vibaya watu wa Arusha,kwanza kuna makabila mengi tu japo wachaga wanaweza kuwa wanaongoza lakini kwa miaka saba mimi nimeishi nao poa kabisa .
 
Dar es salaam ndiyo moyo wa tanzania na ni kama maji lazima utatumia wewe msukule wa arusha.
Pumzika tu usije ukachanganyikiwa hapa JF we msukule wa kijijini arusha
 
zinapangishwa hizo Arusha, una hela??









 
Hujui unachokiponda wewe, ukimuuliza anaefagia ikulu anafanya KAZI wapi? Jibu jepesi ni ikulu, huko note ni R one, mtindio huru jiongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…