Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Joseph Kibwetere,.Fr.Kataribabo,hawa na wenzake wengine waliwalipuwa waumini wao kanisani wapatao elfu moja huko uganda,au hujui habari hiyo!Na wewe ni mbulula mwingine....tangu lini mkristu akalipua kanisa lake mwenyewe? Walipuaji ni waislamu na lazima tuseme na tukemee kwa sauti kubwa! Shindwa!!!!!!
Very poor reasoning!Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Inawezekana uko right, lakini ujue hata sisi watu wa dini za jadi tuna maadui, kumbe huwezi kwepa kuwa na maadui unapozungumzia mambo ya dini.La maana ukimjua adui yako basi utajua jinsi ya kumkabili. Kumbe lolote lawezekana, adui mkubwa ni shetani na anaweza akajionyesha katika sura ya binadamu.Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Mkuu, upo sahihi. Ingawa, inauma hasa kwa waliopatwa na madhara na wakati huohuo wakiamini kuwa huu ni mwendelezo wa uchomaji wa nyumba za kuabudia na mauaji ya watumishi wa Mungu. Nadhani hatuna lugha nzuri wa waliopatwa na madhara haya. sidhani kama kuna jinsi unavyoweza kugeuza fikra za wananchi kwa bomu lililolenga kanisa na wakati huohuo kukiwa na balozi wa papa, ambaye kama angeuwawa, sasa hivi ingekuwa sherehe kubwa kwa waliopanga kutekeleza unyama huu. Nadhani ni busara zaidi kunyamaza kuliko kujaribu kueleza maelezo ambayo hayawezi kuingia akilini mwa wenye hasira. Kwa mtazamo wangu, Serikali ya chama chetu, inazidi kupoteza wapiga kura wa 2015, hasa kwa kushindwa kudhibiti kadhia hii. "There is no palatable language at death"Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Nadhani nikikuita mbu mbu mbu, pengine mbu ni nafuu bora nikuite nzi nzi nzi.
Waliolipua bomu ni waislamu na walilenga kumuua balozi wa baba mtakatifu, askofu mkuu Padilla. wameshindwa, lakini damu ya wakatoliki imemwagika na hata sasa majeruhi wanaugulia maumivu makali hospitali. Tutaacha kufungamanisha dini siku bunge likilipuliwa......sio kanisa
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Huyu muuaji ulimjua, huyu wa arusha nani anamjua atuambieMachi 17;2000 saa 3:00 asubuhi ni siku ambayo haitasahaulika kwa wananchi wa Uganda.
Haitasahaulika kutokana na mauaji ya kutisha ya maelfu ya waumini wa dhehebu moja lililojulikana kwa jina la Movement Restoration ten Commandments,lilikowa likiongozwa na Askofu Joseph Kibwetere.
Waumini hao waliuawa kinyama na Askofu huo na washirika wake .
Waumini hao waliuawa kwa kufungiwa ndani ya kanisa na kisha kuchomwa moto.
Katka tukio hilo waumini wapatao 500 waliteketezwa na moto.Huyu Kibwetere alikuwa mkatoliki .
Hata mimi naamini sio vizuri kufikia conclusion bila kuwa na ushahidi, lakini na wewe pia ni zuzu! Kama uchunguzi bado unaenedelea unawezaje kusema pasi na shaka kuwa eti shambulio halikulenga ukristo au ukatoliki!Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
heeeeeeeee kumbe VICTOR AMBROSS na JOSEPH haya ni waislamu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! duh
ACHENI uchochezi, mwawezaliingiza taifa ktk janga kubwa, Waislam hawana shida na wakristo. acheni uchunguzi ukamilike ndo muongee. kwani yaweza bainika kuwa wakristo haohao ndo wahusika. uchunguzi wa awali umeonyesha muhusika ni mkiristo AMBROSE. NA ukifuatilia maelezo yote toka mwanzo unaona niyakupika ambayo hayaeleweki,. mara mshambuliaji alivaa kanzu akapita kwa nyuma akarusha kwa mkono wa kulia akakimbia huku anaita mwizi mwizi., mara alikuwa ktk pikipki akarusha na kukimbia ,. mara walikuwa ktk gari, mara watu walimuona mrushaji mara mtoto ndiye alimuona. AU VIPI MSHAMBULIAJI AVAE KANZU NDIO AENDE KTK TUKIO LA KUDHURU ? BAdo inatia shaka kama mshambuliaji ambrosi alirusha akakimbia kwa kusema mwizimwizi kisha akarudi tena watu baadae wamepata fahamu ndo wakamkamata ?:fish2::A S confused::A S confused: akili changanya na zako