Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...

ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Habari za usingizi ndugu. Naona ndo umeamka halafu umekuta wenzako wameshatimua. Pole sana brother.Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Nadhani nikikuita mbu mbu mbu, pengine mbu ni nafuu bora nikuite nzi nzi nzi. Waliolipua bomu ni waislamu na walilenga kumuua balozi wa baba mtakatifu, askofu mkuu Padilla. wameshindwa, lakini damu ya wakatoliki imemwagika na hata sasa majeruhi wanaugulia maumivu makali hospitali. Tutaacha kufungamanisha dini siku bunge likilipuliwa......sio kanisa
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Ni upotoshaji mkubwa kuanzia kudhani kuwa shambulio la Arusha lililenga ukristo au ukatoliki. Tukianzia hapo tutapotoshwa na kuchochewa. Wakatoliki,kama wanadhehebu,hatuna adui. Makosa ya jinai hayahitaji dini wala dhehebu. Uchunguzi uwe huru bila kufungamanisha dini yoyote. Wasakwe wahusika si dini wala udini...
Hata nami nimeisha li-note hilo jina, sitamsoma tena huyu mtu, kichwani inaelekea kuna kitu kingine na sio Ubongo!Petro E. Mselewa
Sikusomi na wala sitakusoma
ACHENI uchochezi, mwawezaliingiza taifa ktk janga kubwa, Waislam hawana shida na wakristo. acheni uchunguzi ukamilike ndo muongee. kwani yaweza bainika kuwa wakristo haohao ndo wahusika. uchunguzi wa awali umeonyesha muhusika ni mkiristo AMBROSE.