Arusha = CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arusha = CHADEMA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lizzy, May 5, 2012.

 1. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Leo mji wa Arusha umepambwa kwa scarf,kofia na bendera zenye rangi ya CHADEMA. Maongezi yanayotamba mjini yanahusu CHADEMA.

  Alafu kuna t-shirt zilizioandikwa "Mh Lema jipe moyo, tuko pamoja nawe" kwa mbele na "Movement 4 Change kwa nyuma" nazo zimevaliwa kwa sana.

  Kweli hii ndio mji wa mabadiliko ya kisiasa hapa Danganyika...mpaka raha kuona watu walivyo/wanavyoendelea kuhamasika!!

  CHADEMA iko juu!!
   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  ulipigwa ban umerudi lini??
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,215
  Likes Received: 10,559
  Trophy Points: 280
  Inatia moyo sana naipenda Arusha.
   
 4. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tunaomba picha (kama itawezekana)
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Arusha ni "turning point" ya ukombozi huru wa mtanzania.
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kwanza naipongeza chadema kwa jitihada za kupata wanachama huko vijijini. Hii ni tofauti kabisa na vyama vingine vya upinzani. Ila hii m4c ni arusha tu?

  Vipi kuhusu mtwara, lindi, mtimbira huko morogoro, singida huko dodoma, namtumbo mtera na sehemu kama hizo?

  Hii italeta upinzani wa kweli itakiunda chama na itapambana kisawasawa na ccm.
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  Mwali hujambo..umeshaamka?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndio, nimesha amka, nasoma hapa. I have so much pending readings.
  Umeona tupo jukwaa gani lakini?? hapa sio chit chat... usichakachue please.
  We uko Arusha leo? Nitumie picha basi nione kukoje leo hii.
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mwali sijapiga ila baadae kuna mkutano, nikifanikiwa kuhudhuria ntajitahidi kurusha.
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,519
  Likes Received: 19,944
  Trophy Points: 280
  ok sitachakachua, da Lizzy atatuma picha kama akiweza .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. D

  Dogo-mu Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani umeama magambani.
   
 12. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Bado Dogo-mu, si unaona rangi zangu zilivyo?
  sijahama, we want to change the system from inside.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Haya, nasubiri. Huko Arusha usifanye utundu... be good
   
 14. k

  kitero JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi sana makamanda na ndiyo maana mwalimu alipeleka azimio la Arusha kule.all the best Lizzy tunaomba utujuze yatakayo tokea na picha uturushie plz.M4C
   
 15. by default

  by default JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hata wakati wa kumtoa gadafi awakuvamia nchi yote mapambano yanaanza taratibu then mnajikuta mnaingia hadi town na kwenye mitaro watakayo kuwa wamejificha
   
 16. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  kwa kweli mji umependeza.....kila mtu ana kiashiria cha chama....barabarani watu ni kushow love....hunijui sikujui....una nembo ya chama...we show luv....honi nyingi alama yetu ya vidole kwa sana.....jamani chama nakipenda hiki....
   
 17. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Picha, Picha, Picha + updates!:peace::peace:
   
 18. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  I love Arusha!!! May God be With It .... Nakumbuka Nyumba Lilipo zaliwa Azimio La Arusha na sina shaka Azimio Jipya Litapatikana from Arusha !!! ...as it goes ... sisi tuna Mungu ...wao wana suji nini ...!!
   
 19. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hiyo Mikutano ya Chadema kila siku Arusha tumeshaichoka, sasa tunataka kuona Chadema wanapiga kambi Mikoa ya Kusini na ya Kati. Tired with Arusha for now
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,279
  Trophy Points: 280
  Halafu hii chanel ya kuwadi wa Magamba wameshindwa hata kutoa Coverage ya mkutano huo wa leo A Town, wanakera sana hawa ITV.
   
Loading...