Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Leo mji wa Arusha umepambwa kwa scarf,kofia na bendera zenye rangi ya CHADEMA. Maongezi yanayotamba mjini yanahusu CHADEMA.
Alafu kuna t-shirt zilizioandikwa "Mh Lema jipe moyo, tuko pamoja nawe" kwa mbele na "Movement 4 Change kwa nyuma" nazo zimevaliwa kwa sana.
Kweli hii ndio mji wa mabadiliko ya kisiasa hapa Danganyika...mpaka raha kuona watu walivyo/wanavyoendelea kuhamasika!!
CHADEMA iko juu!!