Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,823
- 3,828
kibaya chajitembeza , kizuri chajiuza, wewe utakuwa kibaya tu.
Ile Operation Delete CCM imeanza kuzaamatunda baada ya wagombea nafasi ya uenyeviti 9 wa ccm kujitoa na watatu kati yao kuomba kujiunga na Chadema.
Wenye viti wa ccm waliotangaza rasmi kujitoa katika kinyang'anyiro hicho cha kugombea ni kutoka :-
Mtaa wa-
Sababu kubwa iliyowafanya mpaka waamue kuchukua uamuzi huo ni kushindwa kufanya kampeni za nje na kulalamika kuwa ccm makao makuu inachuki binafsi na mikoa ya Kaskazini hivyo basi timu nzima yaKinana na Nape imezira kuwasaidia ili kumdhoofisha Mbunge wa Munduli katika safari yake ya matumaini. na mjumbe mmoja jina kapuni amenidokeza kuwa kuna mpango maalumu ulioratibiwa na kambi fulani ya wagombea Urahisi ili kuakikisha ukanda anapotokea Mbunge wa Munduli viti vingi vya serikali za mitaa vinaenda upinzani
- Olmatejoo "A"
- Olmatejoo "B"
- Mama Muasa
- Navarana
- Melamari
- Sakina
- Shamsi
- My River
- Majengo "B"
Kama Wahenga walivyokwisha kusema "Vita vya panzi................................." Mimi binafsi nikiwa Mgombea serikali za mitaa nimefaidika na kujitoa kwa hao wagombea wa ccm.
Hivyo basi, japo kuwa nilikuwa nina 99% za kushinda uchaguzi wenyewe, nitoe shukrani kwa ccm kwa kuniongezea 1% na sasa nimejiakikishia kupita kwa 100%.