Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,823
- 3,828
Ile Operation Delete CCM imeanza kuzaamatunda baada ya wagombea nafasi ya uenyeviti 9 wa ccm kujitoa na watatu kati yao kuomba kujiunga na Chadema.
Wenye viti wa ccm waliotangaza rasmi kujitoa katika kinyang'anyiro hicho cha kugombea ni kutoka :-
Mtaa wa-
Kama Wahenga walivyokwisha kusema "Vita vya panzi................................." Mimi binafsi nikiwa Mgombea serikali za mitaa nimefaidika na kujitoa kwa hao wagombea wa ccm.
Hivyo basi, japo kuwa nilikuwa nina 99% za kushinda uchaguzi wenyewe, nitoe shukrani kwa ccm kwa kuniongezea 1% na sasa nimejiakikishia kupita kwa 100%.

- Olmatejoo "A"
- Olmatejoo "B"
- Mama Muasa
- Navarana
- Melamari
- Sakina
- Shamsi
- My River
- Majengo "B"